Recent content by bobo lee

  1. B

    JamiiForums Tanzania Miongozo ya kidini bado muda?

    Kwa kipindi chote cha awamu ya NNE ya Dr jakaya kikwete mwaka 2005 na 2010 makanisa yalikuwa mbogo kutoa miongozo mbalimbali kwa waumini na watanzania kwa ujumla wakiwaelekeza ni namna gani wachague viongozi wa kuwaongoza.Cha kushangaza mpaka sasa si wakatoliki,walutheli,waanglikana,walokole...
  2. B

    JamiiForums Tanzania CCM imeanza kuzaliwa upya na kutakaswa

    Kipindi CCM inaanzisha dhana ya kujivua gamba na kuwatosa mafisadi Wenye tuhuma vyama vya upinzani vilikuwa vikikebehi na kudai magamba yameshindwa kuwavuka. Lakini hili wimbi la watuhumiwa wa ufisadi kuhamia upinzani na kusafishwa au kusamehewa dhambi za ufisadi wao linatia shaka,wimbo wa...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Jukwaa la Wakristo lapinga Mahakama ya Kadhi kujadiliwa bungeni

    Hii kitu inashangaza kweli,fedha za MOU ni halali kutumiwa na dini pendwa lakini za kadhi sio halali.Kwa sababu fedha atakayolipwa hakimu wa kawaida ndo hiyohiyo atakayolipwa hakimu wa mahakama ya kadhi tatizo lipo wapi?Watanzania hatukushirikishwa kwenye MOU,magumashi yalifanyika,si unajua...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Ibrahim Lipumba anafaa ubunge

    Nia yako mbaya umeishachagua mgombea wako wa uraisi na unataka kuwapangia wengine majukumu tofauti mi nashauri asitokee mgombea yeyote kutoka chadema kwa sababu hawana uzoefu wa kugombea kama Lipumba au unasemaje?
  5. B

    JamiiForums Tanzania Matibabu ya Kikwete yazua balaa Bungeni

    Suala hili linaegemea kwenye imani zaidi na limegawanyika katika maeneo matatu. 1.Eneo la kwanza ni la waislam ambao hawaridhishwi na utawala wa Kikwete na wamekuwa wakisoma dua mbaya misikitini.Hapa inaweza kuaminika kwamba karushiwa ule ugonjwa wa kipwani wa mamwinyi(tezi dume).Kibaya zaidi...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Askofu Ngalalekumtwa awataka Watanzania kuikataa Katiba Mpya

    Kauli za kutochanganya dini na siasa zilikuwa ni nyimbo pendwa sana za Maaskofu,mapadri na wachungaji enzi za miaka ya 1990s wakati mambo yao yalipokuwa yanatekelezwa kwa100% na wakati huo waislam ndio waliokuwa walalamikaji wakubwa wa mfumo.Kwa sasa Viongozi hawa ndio namba moja kwa kuchanganya...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Siri Ya Wanajeshi Wa Obama

    Tunatakiwa kujua kwamba majeshi ya Marekani yanapokita mizizi sehemu huendelea kutafuta uhalali wa kukaa milele kama ilivyo Iraq,Afghanistan,Saudia,Djibout,Uganda na hii imeishatokea sehemu nyingi ambazo wana majeshi yao.Tuliikataa Afcom kishujaa lakini inakuja kivingine nasi twafurahia,akili...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini upinzani wanaendelea kuwapokea CCM?

    Nalisema hili kwa sababu kipindi hiki ni kipindi cha kuelekea kwenye chaguzi vyama visije vikawa kama kokoro la kubebea wazuri na wabaya.Malengo ya wengi wanaojiunga na upinzani muda huu hayaeleweki,inawezekana ni kusaka vyeo baada ya kuvikosa walikotoka,pia inawezekana ni kupeleleza mbinu na...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini upinzani wanaendelea kuwapokea CCM?

    Huwa nashangaa ni kwanini sisi Watanzania tunakuwa wepesi wa kusahau.Mimi binafsi kama mdau wa siasa japo si mwanachama wa chama chochote naliona kosa moja wanalolifanya wapinzani nalo ni kufurahia kupokea wanachama kutoka CCM wakati wengi wao ni mamluki.Hivi wapinzani hawajajifunza kutoka kwa...
  10. B

    JamiiForums Tanzania The World According to ISIS: The Terrorist Army’s Dreams for Islamic Caliphate Revealed in One Map

    Who created this group? Who give them weapons? Who want to fight and eradicate this group? Who publish those propaganda?Its America.Think big,we let our minds driven by American propaganda and difference of our religion.America and its allies want to rule the world by using military and...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Nimeona umuhimu wa mahakama ya kadhi

    Ndugu punguza munkari,jambo lolote waislam watalofanya endapo litampendeza MMungu ni ibada.Kuhusu majini au mashetani hilo jina tu sawa na nyinyi mnavyowaita mapepo.Huwezi kutaka kuelimishwa jambo kwa kufanya kebehi mrejesho wake utakuwa kebehi hizohizo.Kuhusu suala la kulipua mabomu hiyo ni...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kashfa Ya polisi kulawiti watuhumiwa; Jee ni haki kuinyamazia bila kuchunguzwa?

    Kuna kitu sielewi hapa,mtu anatoka alipotoka na kuanza kusema masheikh wamechoma makanisa na kuua viongozi wao,hayo ni madai makubwa na je waliwahi kupeleka ushahidi walionao polisi ili ufanyiwe kazi?tuache chuki za kidini.Hata hao Al shaabab na Boko Haram walianza hivyohivyo baada ya manyanyaso...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika Uchaguzi wa Viongozi wa BAVICHA Taifa - Mlimani City, Dar

    CUF ilipofanya uchaguzi waliambiwa wamechagua watu kutoka ile dini yetu kama vile wanachagua viongozi wa msikiti.Je hapo CHADEMA tofauti ni watu wa Zenji tu ndo kusema chadema ya wakristu na cuf ya waislam? Najaribu kuweka rekodi sawa.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Katibu wa CHADEMA jimbo la Muhambwe akamatwa na polisi kwa kosa la kutetea wakulima

    Kosa ni kuandika malalamiko ya uongo nakala ya barua mimi binafsi ninayo na inadai wameibiwa mashoka.mapanga,majembe mapya,unga,maharage,maturubai,madumu,makapeti na mlolongo kibao,lakini pia walidai wamepigwa sana wakati hawana pf 3 wala majeraha na walidai kuvamiwa na watu wenye s.m.g na...
Back
Top Bottom