Recent content by bobezi

  1. bobezi

    JamiiForums Tanzania NECTA, haya matokeo ya hii shule yanatia wasiwasi

    Hahahahah mkuu acha wafaulu Sent using Jamii Forums mobile app
  2. bobezi

    JamiiForums Tanzania Nini kinamsibu Waziri Angela Kairuki? Miaka 3 Wizara 3!

    Unamaana gani mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  3. bobezi

    JamiiForums Tanzania Kabla ya Kugundua ' wanadukuliwa ' na Rais wa Nicaragua na walipogundua ' Meseji ' zao nyingi Watendaji zilikuwa / zipo hivi...

    Nikaragua 4:7-12 Sent using Jamii Forums mobile app
  4. bobezi

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli anadukua simu za mawaziri na kusoma meseji zao? Sikia hili

    Hivi alimaanisha private SMS"""???? Mi nilielewa kuwa wanajibizana kwenye the so called "sosho media' au naelewa vibaya wadau Sent using Jamii Forums mobile app
  5. bobezi

    JamiiForums Tanzania Kwa taratibu za mazishi za Waislam nawapa kongole

    Sawa tu mradi azikwe Sent using Jamii Forums mobile app
  6. bobezi

    JamiiForums Tanzania Wajue Masupasta 10 waliofariki kwa ugonjwa wa UKIMWI

    Wapo...yule alisingizia ukimwi wa kulogwa alianzia studio kuumwa..."so hata kwetu wapo"ndugu Sent using Jamii Forums mobile app
  7. bobezi

    JamiiForums Tanzania VITUKO DUNIAN

    Mi nadhani hata ssi tungeiga hii tamaduni .. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. bobezi

    JamiiForums Tanzania TBC MPYA: Ushauri, Maoni na Mapendekezo ya ubora wa vipindi (Television Content)

    He Sent using Jamii Forums mobile app
  9. bobezi

    JamiiForums Tanzania Ratiba mpya mjadala wa Escrow Bungeni

    Kweli mkuu...?
  10. bobezi

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni: Jumamosi, 29 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    Ok sawa mkuu hata mimi napenda watu wapewe hukumu ya haki...sasa bunge lipo now au halipo..tudaidieni tulio mbali
  11. bobezi

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni: Jumamosi, 29 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    Tueleze kilichotokea saa kumi jioni mkuu tuelewe maana asubuhi mheshimiwa aliahidi watarudi saa kumi...sasa saa kumi Raisi wa jamhuri alikuwa akiongea nasi jambo ambalo si baya sasa Je nini kimetokea Bungeni au nao walikuwa wakimsikiliza Rais
  12. bobezi

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni: Jumamosi, 29 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    Tunakuja kwa uzi huu kujua hali ikoje Dodoma kama kuna mtu yupo huko basi atujuze jamani. Maana hata Rais keshamaliza kuongea lkn kimya...
  13. bobezi

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni: Jumamosi, 29 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    DU...!!! hii ni ngoma nzito lakini ni uamuzi wa busara sio kama kilichotaka kufanywa jana bunge litoe maazimio ambayo yakomeshe kabisa dhuluma kwa umma na yawe ya haki pia..
  14. bobezi

    JamiiForums Tanzania Miss Reds Tanzania 2014 Sitti Mtemvu kazi anayo, Umri wake utata mtupu

    Akiwa Dallas alikuwa 25 yrs
Back
Top Bottom