Ratiba mpya mjadala wa Escrow Bungeni

Ratiba mpya mjadala wa Escrow Bungeni

Wameenda kupumzika manake jana sidhani kama ccm kuna mtu alipata usingizi sanasana kuota ndoto za maruweruwe tu.

Kuna wabunge wengi tu wa CCM walifanya kazi nzuri jana,tuwapongeze. Tatizo ni wale walio kwisha jipanga kuambulia chochote ktk Team Pinda na walio megewa mihamala ya Rugemalira na Singh.
 
Huu umeme vipi jamani .mbona mnatunyanyasa watanzania kiasi hiki? Tulipie kwa pesa yetu tena ambayo ndio hiyo mmegawana kama mahindi ya njaa.bado mtunyime tusipate matangazo. Tutawahukumu majambazi ya ccm kwa matendo yenu. Haina shida kila lenye mwanzo lina mwisho.
 
wameenda kupumzika manake jana sidhani kama ccm kuna mtu alipata usingizi sanasana kuota ndoto za maruweruwe tu.

kuna kulala hapo mpwa hakuna hapo hata jogoo hawiki ukiwekwa mtu kati sio mchezo star tv angaliawanakuwekea picha mb2 mchangiaji na mtuhumiwa mpwa aibu watu wazina wanakala kucha wengine kila mara wanainama kutengeneza socks
 
Ni ngumu kubashiri ila sisi wa huku nje tumeshajipanga kui delete ccm wakalaumiane kwa kilichowapata.
 
Rasmi-Bunge litarejea na vikao vyake leo jumamosi kuanzia saa 3:00 Asubuhi baada ya kuvunjika jana usiku.Litaendelea na mjadala wa Escrow.Taarifa ya Bunge imetangazwa hivi punde.

Asante

Limeahirishwa tena hadi saa 5.00 asb, Speaker kaziagiza caucuses zikae kumtafutia maneno yatakayofaa kuieleza Serikali hatua za kuchukua.

Sasa huwa najiuliza, maneno hayo yanatafutiwa sayari ipi na ili yampendeze nani?

Kama wajibu wa Bunge ni kuishauri na kuisimamia Serikali, then ikashauriwa mamlaka husika itengue uteuzi wa Waziri mara moja, tatizo ni nini juu ya ushauri huo?
 
Ondoa au fukuza au watie lupango mashetani hao kwanza,ndio serikali itajinasua japo kwa wananchi.Bado kesi na wafadhili.Kwa sasa serikali ya CCM ipo katika hali ngumu.
 
[h=2]The President returns to find Parliament and people alike outraged by the latest corruption scandal. The CCM is looking for a way out[/h] Having spent much of November convalescing in the United States after prostate surgery, President Jakaya Mrisho Kikwete came home to find a country in turmoil over the escrow account scandal and demanding action. Yet again, corruption is dominating politics and the media. Foreign Affairs Minister Bernard Membe recently described it as 'by far the most serious challenge' Tanzania has to face. The urgency of decisive action has now been underlined by developments in Parliament in Dodoma, where an attempt by Prime Minister Mizengo Pinda to prevent a highly sensitive corruption debate from taking place was firmly overruled by Speaker Anna Makinda. As a result, over the past few days members of parliament have proceeded to debate the explosive findings of its Public Accounts Committee regarding a host of questionable payments involving power producer Independent Power Tanzania Limited (IPTL).
source:Africa Confidential | The world's leading fortnightly bulletin on A
 
Kwa Rais makini huu mjadadala usingekuwepo. Ilikuwa ni kuwatimua watuhumiwa hata kama ni marafiki zake

Mimi najiuliza, bunge limefanya mengi makubwa hata kumuwajibisha waziri mkuu. Hapa kuna nini wezi wanajadiliwa na kuwekewa vikao?? Ccm kweli mmefika hapo?? Kuwatetea wezi kweli?? Hili ni jambo la kuweka kwenye kumbukumbu ya dunia.
 
Kwa Rais makini huu mjadadala usingekuwepo. Ilikuwa ni kuwatimua watuhumiwa hata kama ni marafiki zake

Ugumu wa kufanya hayo ni kuwa jk mwenyewe ni suspect namba moja. Ndie aliebariki mchakato mzima.
 
Mimi najiuliza, bunge limefanya mengi makubwa hata kumuwajibisha waziri mkuu. Hapa kuna nini wezi wanajadiliwa na kuwekewa vikao?? Ccm kweli mmefika hapo?? Kuwatetea wezi kweli?? Hili ni jambo la kuweka kwenye kumbukumbu ya dunia.

Linamhusumkuu wa kaya pia! hawa wanaotajwa wakiwaw watamwaga siri
 
Tayari saa 10:25 jioni na bado hakuna matangazo ya bunge, nini kinaendelea huko!..
 
Back
Top Bottom