Recent content by bobby bm

  1. B

    JamiiForums Tanzania Biashara ya nguo, viatu, mikoba na cosmetics kutoka Uganda

    wana jamvi nisaidieni mawazo, nataka kuanzisha biashara but nina mtaji wa lakhi moja na nilipenda biashara ya nguo sasa cjui itawezekana? naitaji mchango wenu wa mawazo
  2. B

    JamiiForums Tanzania Ni wapi nitapata nafasi ya kufanya field katika fani ya electrical installation

    Habari wadau? Mimi ni mwanafunzi katika chuo cha ufundi mafinga lutheran vocation training centre, nipo mwaka wa pili katika fani ya umeme wa majumba na viwanda, sasa niliitaji ni wapi nitaweza kupata nafasi ya kufanya field kwa uhakika katika mikoa ya mbeya iringa na dar es salaam. Naombeni...
  3. B

    JamiiForums Tanzania icloud kwenye iphone 4

    Upo api ww kwani?
  4. B

    JamiiForums Tanzania Msaada laptop yangu ina stuck....

    Poa poa mkuu
  5. B

    JamiiForums Tanzania Msaada laptop yangu ina stuck....

    Kwahyo ulifanyaje?
  6. B

    JamiiForums Tanzania Msaada laptop yangu ina stuck....

    Ww tatizo lako lilikua nini?
  7. B

    JamiiForums Tanzania P.c yangu inani sumbua, msaada jamani

    Cant found kernel image:Confile Boot_ Huo ndio ujumbe unao jitokeza
  8. B

    JamiiForums Tanzania Msaada laptop yangu ina stuck....

    Je kama uki install wondow inaingia ila haifiki mwisho, ikifika mwisho inaganda au ndio inaanza upya tatizo nini?
  9. B

    JamiiForums Tanzania P.c yangu inani sumbua, msaada jamani

    Msaada jamai pc yangu nikibari window inaingia ila hafiki mwisho hadi sasa haiwaki, nasielewi nini tatizo na nifanye nn
  10. B

    JamiiForums Tanzania Nani anazijua sheria za volleyball

    habari zenu wadau? samahani nilipenda msaada juu ya kuzijua sheria za volleyball
  11. B

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa ku-root Huawei y530

    Me ni fundi mzuri, na uwezo wa hyo
  12. B

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuondoa iCloud Lock kwenye iPhone?

    nipe mkwanja nikusaidie
  13. B

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa ku-root Sony experia Z

    mimi hapa naweza.
Back
Top Bottom