Nawezaje kuondoa iCloud Lock kwenye iPhone?

Nawezaje kuondoa iCloud Lock kwenye iPhone?

usimtishe mwezako saa hivi wachin awametoa box inaitwa ip box hiyo ni hatari inasoma passowrd ikisha toka password ndio una remove id apple gonga hapa

IP-BOX iPhone Password Unlock Tool

Naona haujaelewa tofauti ya Apple ID Password na iPhone Passcode. Hiyo ip box unayoongelea wewe ni ya iPhone passcode/word na inawezekana kufungua passcode/word hata kwa ku restore. Hakuna anaeweza kutoa Apple ID Password 100% tena iliyo kwenye lost mode!
 
Paul S.S

Bongo hackers think about brute forcing the apple id or recovering iphone encrypted data in ofline mode... if iphone encrypted data can be recovered... ad those encryped data analysed then iphone pasword can be recovered from those data.

Any thing which require user input can be brute forced it is a matter of time and processing power of a machine...niko hatua za mwisho za ku re engineer my iphone hacking tool.......kaeni mkao wa kula apple id can be recovered but it is illegal

I like your guts mkuu,

But theoretically brute force can guess any password Nirahisi zaidi kuhack Apple Id kuliko kuhack password ya encryped data kwa brute force Anyway hebu nipe mwanga utazipataje hizo encryped data toka kwenye iphone iliopo kwenye lost mode?
 
Mkuu I'm talking from experience mimi nina iPhone 4S ilikuwa na iOS 7.1.2 na iCloud Lock sasa hivi naitumia kama kawaida, tena yangu ilikuwa na iCloud ya mtu wa Australia. Nili downgrade kwenda 6.1.3. THANKS TO YOUTUBE

ku downgrade ndo unafanyaje mkuu msaada tafadhali
 
Mkuu unaposema ilikua na iCloud lock kisha uka downgrade.... How?

Labda kati ya mimi au wewe hatuelewi maana ya iCloud lock

Nijuavyo mimi unapowasha tu idevice yako immediately inakutaka kuingiza Apple ID uli uendelee. So unaposema ulidowngrade inakuwaje hapo

Hebu tuwekee hiyo video ya youtube hapa maana usije kuchanganya na iphone kuwa haijawa locked lakini ina waka na ina apple id ya mtu mwingine, hapa unaweza kuifuta

Lakini ikijilock kwa icloud lock maana yake huwezi kuiwasha tena hadi apple id
Naomba ufafanuzi ume bypass vipi icloud lock wakati wa kuwasha iphone yako?

Mkuu msaada apa ikiwa na accnt ya mtu mwingineh nawezaje kuifuta nkaanza kutumia id yangu asante mm ninatatizo hilo nlinunua sim used ina tatizo hilo mkuu nataka niwe naingia apple store na kudown load vitu.
 
Icloud ni mbaya sana, maana jamaa wanakuwa wanailkufuatilia popote ulipo na phone book yako yote wanakuwa nayo.

IPhone sio simu salama kwa matumizi yako hasa upande wa maisha yako binafsi.
 
Naona haujaelewa tofauti ya Apple ID Password na iPhone Passcode.

Hiyo ip box unayoongelea wewe ni ya iPhone passcode/word na inawezekana kufungua passcode/word hata kwa ku restore.

Hakuna anaeweza kutoa Apple ID Password 100% tena iliyo kwenye lost mode!

Ahsante mkuu kwa kunielimisha nilifikiri hii box ina remove apple id thanks so much
 
Nina wasiwasi hii simu ni ya wizi. Kama ni yako ni kwanini usiwe na password? Kama umesahau password basi nenda Apple shop na risiti zako watakutolea.

Mbaya zaidi kama ni ya wizi, ukienda shop,

Kama mwenye nayo ameweka lock kwa kutumia 'Find My Iphone', ikiwashwa tu itadisplay message kuwa simu hiyo imeibiwa.
 
Natoa icloud permanent kwa pesa za kenya ksh.25,000(iphone 4,5,5s na 5c) na ksh.30,000 kwa iphone 6 na 6 plus ambazo ziko clean(yaani haziko kwenye lost mode) kwa siku7,14,21,na 28 za kazi malipo baada ya kazi?ila simu lazima iwe oficn kwangu kwa muda wote inaposhughulikiwa.

Kwa mawasiliano nicheck whatsapp number +8613320286695.

Niko Mwanza Tanzania.
 
Unajua bei ya iphone 4 sasa hv?
 
Acha utapeli wewe
 
I like your guts mkuu,

But theoretically brute force can guess any password Nirahisi zaidi kuhack Apple Id kuliko kuhack password ya encryped data kwa brute force Anyway hebu nipe mwanga utazipataje hizo encryped data toka kwenye iphone iliopo kwenye lost mode?

Wewe hujui lolote na bado uko gizani !
Icloud inatoka 100% hata kama iko lost mode isipokua ambayo ni stolen .
Kuna tofauti ya lost na stolen, lost inatoka ila stolen haitoki kamwe.
 
Wewe hujui lolote na bado uko gizani !
Icloud inatoka 100% hata kama iko lost mode isipokua ambayo ni stolen .
Kuna tofauti ya lost na stolen, lost inatoka ila stolen haitoki kamwe.
Humpati mtu wa kuibia humu ndani kibwege ----- wewe
 
Natoa icloud permanent kwa pesa za kenya ksh.25,000(iphone 4,5,5s na 5c) na ksh.30,000 kwa iphone 6 na 6 plus ambazo ziko clean(yaani haziko kwenye lost mode) kwa siku7,14,21,na 28 za kazi malipo baada ya kazi?ila simu lazima iwe oficn kwangu kwa muda wote inaposhughulikiwa.

Kwa mawasiliano nicheck whatsapp number +8613320286695.

Niko Mwanza Tanzania.

25,000/= Kshs Iphone 4!!! Kwanini nisiuze spea na kuongezea hiyo hela kununu 5 used
 
Natoa icloud permanent kwa pesa za kenya ksh.25,000(iphone 4,5,5s na 5c) na ksh.30,000 kwa iphone 6 na 6 plus ambazo ziko clean(yaani haziko kwenye lost mode) kwa siku7,14,21,na 28 za kazi malipo baada ya kazi?ila simu lazima iwe oficn kwangu kwa muda wote inaposhughulikiwa.

Kwa mawasiliano nicheck whatsapp number +8613320286695.

Niko Mwanza Tanzania.

Hiyo gharama inatosha kununua iphone 5S used.
 
Back
Top Bottom