Recent content by Bob Malik

  1. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni nani anamchafua Rais Samia?

    Naona kuna vita vikali sana ndani ya Chama Cha Mapunduzi (CCM). Hii inanikumbusha kipindi cha Hayati Dr. Magufuli. Kuna muda alipingwa sana na watu ambao kwa mtu mwenye uelewa wa kawaida atajua kabisa ni watu wa karibu ambao wanatumia sura ya unafiki. Kuna matukio mengi sana kwa sasa...
  2. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenye sifa hizi, muda wako wa kukutana na mwenza wako umefika

    Asante mkuu
  3. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenye sifa hizi, muda wako wa kukutana na mwenza wako umefika

    Pole sana, nahitaji msukuma, mhehe au muha tu.
  4. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenye sifa hizi, muda wako wa kukutana na mwenza wako umefika

    Mwonekano 1. Mrefu 2. Mweupe Umri Kuanzia miaka 20-27 Dini Mkristo (Msabato) Kabila Msukuma ( hasahasa Mnyantuzu), Muha au Mhehe. Elimu Diploma/ Degree SIFA ZANGU Mwonekano 1. Mrefu 2. Mweusi  Umri Miaka 28  Dini Mkristo (Msabato)  Kabila Msukuma (Mnyantuzu)  Elimu Diploma Kazi...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Hii ni shida inaweza kuwa shida gani?

    Nimewahi kuwa na vidonda vya turbo mkuu. Kesho nitaenda kucheki tena kama ndio vyenyewe.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Hii ni shida inaweza kuwa shida gani?

    Nashukuru sana mkuu. Nimewahi kuwa na kesi hii ya vidonda ila nilipona. Sasa sijajua kama inaweza jirudia. Ntafanya hivyo mkuu.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Hii ni shida inaweza kuwa shida gani?

    Ni takribani wiki sasa napitia hii changamoto ya kiafya. Upande wa kushoto kifuani(Kwenye moyo) nahisi maumivu hasa baada ya kuvuta hewa. Kuna dalili kama kichefuchefu na uchovu viliambatana Hii unitokea hasa hasa wakati wa usiku. Mchana mara chache sana hasa nikiwa na njaa. Kabla ya...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Kuzaa Watoto mara nyingi (Watatu na Zaidi) kunaweza kusababisha Saratani ya Mlango wa Kizazi

    Magonjwa yapo tu...kuzaa watu wazae. Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
  9. B

    JamiiForums Tanzania Umoja wetu ndiyo nguvu yetu

    Ukoo wetu hauna dini moja. Kuna Wakristo na kuna Waislamu. Kuna wengine hawana dini kabisa. Ila some tunachangia mababu. Na tunapendana. Siwachukii Waislamu kwa kuwa mimi ni Mkristo. Siwachukii wakatoriki kwa kuwa mimi ni Mlutheri. Kuna wanasiasa wenye nia ovu hasa hasa kutoka Chama cha...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mkataba urekebishwe, maisha yaendelee, watanzania ni wamoja

    Mkataba una mapungufu mengi sana. Serikali ikae nq wataalam wa mikataba ya uwekezaji wenye uzalendo wa juu. Wapitie vifungu tata...virekebishwe na uletwe tena bungeni kupitiwa na kupitishwa. Si uungwana kuchanganya siasa na dini. Madhara yake ni makubwa sana. Waprotestanti, Wakatoriki na...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu

    Mkataba ni mbovu ila haifanyi taasisi ya Urais ivunjiwe heshima. Sasa wanapodai wana mizizi kila kaya wanamtishia nani sasa? Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
  12. B

    JamiiForums Tanzania Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu

    Hakuna anaebisha kuwa mkataba wa DP World na Tanzania ni mbovu. Wanaharakati wameweka bayana na sisi tusio wanasheria tumeelewa. Hilo ni jambo jema. Shida inakuja pale Taasisi moja ya dini inajiona yenyewe ndio inaweza kuamua na kusemea taasisi zingine. That's stupidity! Tanzania ni ya wote...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Wanaosema Wasukuma ni Wakarimu, wana upendo halafu muda huo huo wanapenda ushirikina na Uchawi, hawajui kile wanachokisema

    Rudisheni bandari zetu. Mada za kijinga hatutaki sikia. Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
  14. B

    JamiiForums Tanzania Sakata la Bandari: Serikali imepoteza mvuto na imani ya wananchi?

    Binafsi huwa nashindwa kuwaelewa watu wenye nafasi zao kwenye jamii ya Watanzania. Hasa hasa wasanii, kwanini mnakubali kutumika kusahaulisha watu kufatilia suala la msingi la mikataba mibovu inayotufanya tuwe watumwa sisi na vizazi vyetu kwenye nchi yetu wenyewe. Kwani nyie hamna Watoto au...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Awamu ya Sita Watu wanajenga, mnyonge mnyongeni Haki yake mpeni

    Kwani awamu ipi hawakujenga? Nani huyo mnyonge? Akili zako hazipo sawa
Back
Top Bottom