Recent content by Bob Kawari

  1. Bob Kawari

    Fahamu vitu 15 kuhusu mnyama tembo

    Kiboko ya nyuki ni nyegere peke yake waliobaki wote na sie binadamu ni wanyonge tu kwao...
  2. Bob Kawari

    Kutoka Maktaba: TAKUKURU yataja mtuhumiwa wa sare hewa za bilioni 40

    Mh Rais asipomtumbua huyu lugola kweli nitazidi amini hii serikali ni dhaifu...
  3. Bob Kawari

    Kwa mil.6 napata gari gani nzuri?

    Hiyo pesa unapata gari nzuri kabisa kikubwa usiwe na papara kuna watu wamepigika mbaya hata 5 anakuachia...
  4. Bob Kawari

    Ng'olo Kante Mhasibu aliyetukuka ndio maana hahiri

    Ina maana ndugu na akina Mshana Jr [emoji38] [emoji38]
  5. Bob Kawari

    Namna gani bora ya kumzuga mwanamke asije nyumbani kwako?

    Mwambie unafuga nyoka huwa ni waoga sana wa hao viumbe...
  6. Bob Kawari

    Kwanini "kingmaker" Rostam Aziz amerudi nchini kipindi cha uchaguzi?

    Mkuu pasco 2025 mbali sana we subiri uone 2020 wenye akili wakipindua meza... Yajayo yanafurahisha tz kuna phd za unafiki kuanzia hao wasomi hadi wasiobahatika kwenda shule.
  7. Bob Kawari

    Vita ya Vinywaji...

    Pombe haina dhambi yoyote ndugu, matokeo yake ndio shida kama huwezi jimudu achana nayo, hujui hata ukila chakula ukavimbiwa ni dhambi?
  8. Bob Kawari

    Waziri Lukuvi: Marufuku kuzika kwenye vihamba Kilimanjaro

    Hahaaaa we taahira kweli... [emoji23] [emoji23]
  9. Bob Kawari

    Vita ya Vinywaji...

    Mangi usifananishe mbege na hayo mataputapu ya ajabu...
  10. Bob Kawari

    Vita ya Vinywaji...

    Ni kweli meku sere lite kamkaba koo vibaya castle lite, K vant nayo kwa sasa inakimbiza kwa kasi wengi wanasema haiachi harufu kali mdomoni hata ukikesha nayo unaamka asubuhi kama umekunywa pepsi... Tumuite mdau Mshana Jr aje na tathmini yake
  11. Bob Kawari

    Wanasiasa wanawake warembo duniani: Hakuna hata mweusi mmoja, huu ni uongo

    Mama yetu Samia wamembania, hawajaona ule ujicho wa kurembua nn?
  12. Bob Kawari

    Wizara ya kilimo yahamia Mtwara wakulima wa korosho kuanza kulipwa pesa zao kesho!

    Hiyo korosho serikali isipokuja iuza kwa sh500 kwa kilo mniite kichaa, pamoja na kua wafanyabiashara mara nyingi ni wanyonyaji ila tutambue wana chain ndefu hadi huko soko la dunia...
  13. Bob Kawari

    Inawezekana kumpenda mwanaume asiye na hela?

    Hapana ndugu sipo kwenye kundi lolote kati ya hayo ulotaja, nina maisha ya wastani na naishi kwa amani na wife. Ila hilo la wake wengi wa matajiri kugongwa nje ni jambo lipo sana wala halihitaji utafiti. Tukirudi kwenye mada yako suala la mapenzi na fedha ni vitu viwili tofauti kama maji na...
Back
Top Bottom