Kwa bomba za umeme si inashushwa moja kwa moja kwenye outlet kupitia hizo hollow gaps ila kwa maji labda plaster iwe pana kidogo kwaajili ya kuyafunika
Nafahamu kuna bird flu (coryza), pia kusinzia bird cold tumia antibiotics kama tetracycline, amoxicillin kwenye maji kagua mazingira wanayolala kuku wako yasiwe na unyevu(high humidity) watapona baada ya mwezi hivi au zaidi kama ni vifaranga wanaweza hata kufa kama hawatokula vizuri.
Kwa...
Hapa umeongea aise bado kuna ule mgomo wa madaktari watu waliuwawa sana, mgomo wa wanafunzi ifm watu walilawitiwa kipindi cha jk na mengine mengi tuu tumesahau
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.