Mfalme mtarajiwa wa Miduara 'Bob Haisa' kutoka Misungwi,Mwanza anatarajia kuachia ngoma yake mpya hivi karibuni akimshirikisha Malkia wa Taarabu asilia 'Bi Shakila' kutoka Dar Es Salaam,ngoma hiyo imetayarishwa na King Fenya kutoka Mbunda Records.Sikiliza na Pakua kionjo chake hapaMashaka...
"Nikiwa na umri mdogo sana nilijikuta napenda kusikiliza muziki na hata nikiwa shuleni mwalimu aliyeni vutia sana alikua wa michezo na muziki namkumbuka Mwl. Julieti aliyewahi kushika nafasi hiyo pale Mitindo shule ya msingi. Siku za ijumaa tulitolewa mapema shuleni ili kujiandaa na swala ya...
Chorus Yaa shahar ramadhan khair min alfu shahar ooh!
shahar ramadhan khair min Alfu shahar×2
Verse1
Mwezi ulojaa amani
utulivu wa duniani
huzidi za waja imani
ufikapo yaa ramadhan
Karibu ramadhan
karibu ramadhan
karibu ramadhan yaa shahar ramadhan,
karibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.