Ulifanya jambo gani mpaka ikfikia hatua iyo?Habari wana Jf,
Sio mbaya jaman tukashare matukio ambayo tumeshawahi kufanyiwa na hatutasahau kamwe maishani...
Mwenzenu sitasahau siku ya kumaliza mtihani wa kidato cha nne nilichaniwa na msimamizi Paper ya Chemistry nililia sana na ndoto ya udaktari ikaishia hapo..