Recent content by Bm Mashimba

  1. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Bora tu aondoke LV maana siku izi wachezaji wamezidi kupoteza comfidence na hawana morali kabsa ndo maana tunashuhudia majeruhi ni weng
  2. B

    JamiiForums Tanzania Nyuma ya pazia: Kwanini Lowassa anahutubia kwa muda mfupi sana?

    Unayo majibu ya vipimo vyake vya huo ugonjwa anaoumwa???
  3. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Yaani kaka nilikuwa sina raha kwa maneno ya watu kuwa leo lazima tufungwe
  4. B

    JamiiForums Tanzania Watu wafurika Hotel Mwanza kumuaga Lowassa akienda Mbeya

    Ni mahaba kwel kwel kwa watu ya kanda ya ziwa
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mafisadi wanazidi kuikimbia CCM na kujiunga na CHADEMA/UKAWA

    Kwamba hujaelewa au??
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mafisadi wanazidi kuikimbia CCM na kujiunga na CHADEMA/UKAWA

    Sasa siukawafungilie jalida mahakamani ndugu yangu kama ushahidi upo aisee maana tumechoka maneno
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Majeshi, Davis Mwamunyange kuwasili nchini 16th Oct, baada ya ziara nje ya nchi

    Ngoja 2one kwani ni dakika 35 tu zmebaki
  8. B

    JamiiForums Tanzania Picha tu: Lowassa Mwanza

    Duuu,mbona ni shida mwanza
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mdahalo: Tuwapime Magufuli na Lowassa

    Sasa wewe unasema wa2 800 kati ya hao maengeneer,machemia na wengne walosoma sayansi walikuwa wangapi???
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mdahalo: Tuwapime Magufuli na Lowassa

    Kwa wewe unavyofkiria hao wasomi walioko mtaani ni wakemia wangap ambao anaweza fanya kwenye vwanda zaidi ya 60 kaka??
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mdahalo: Tuwapime Magufuli na Lowassa

    Afadhali mwenye elimu kwa sabab hyo hyo elimu itatusaidia kuongeza wataalamu wa kuviendesha hvyo vwanda 2. Tukifanya vwanda 2taishia kuajiri 2 wataalamu kutoka nje kama ilivyo uwanja wa taifa na c ndan ya nchi na watanzania watakuwa kama ma day worker 2
  12. B

    JamiiForums Tanzania Sam Mahela wa ITV apewa vitisho baada ya kutoa habari ya abiria waliokwama na treni

    Mungu akupe nguvu na uwezo wa kuendelea kuripot habar zaid ya hyo,nakukubali sana Sam Mahela
  13. B

    JamiiForums Tanzania UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Mkuu badae utoe matokeo ili 2jue mshindi!!
  14. B

    JamiiForums Tanzania UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Lowassa
Back
Top Bottom