Recent content by Blvck Inc

  1. Blvck Inc

    Kwa bejeti la laki tano na nusu ninunue simu gani

    Chukua G.pixel4XL box utakuja kunishukuru
  2. Blvck Inc

    Naombeni ushauri wenye busara juu ya hili

    Vipi kaka tuweke wazi kama mari inatoa harufu mbovu tumpe tiba shemeji,maana Kitu ambacho mwanaume hawezi kukivumilia kwa hari yoyote ni hiyo kitu[emoji3]
  3. Blvck Inc

    Bado Hamuuoni Mwisho Wa Diamond?

    Kushuka kwa kuavo wa tandale mpaka aje msanii mwenye nyota kumpita yeye na awe na mashiko kwenye kazi zake sio Mmakonde wala marioo na sio tu mziki mzuri pia Mziki unahitaji kafara kibao usichokijua wewe, Muangalie Burna boy na mitindo yake ya kuvaa sketi na nguo za ajabu hawavaitu ilimradi...
  4. Blvck Inc

    Wazalendo Walioandamana kupinga Mkataba wa Milele wa kukodisha Bandari Waachiwa kwa Dhamana

    kwa nchi zilizoendelea kuandamana ni jambo la kawaida lakini hapa bongo ukiandamana wanajua unataka kuipindua serikali[emoji28]
  5. Blvck Inc

    Nina miaka zaidi ya 25 na sina mume wala mtoto, nachanganyikiwa

    Age ya 25 kwa Mwanamke sio haba,umepata mafanikio ndio Muombe Mungu pia akuongoze upate mtu sahihi Mjenge family asikwambie mtu eti hii age bado sana, pesa tu haiweizi kukupa furaha na ndo maana umeleta huu uzi apa.
  6. Blvck Inc

    Kwaresma inapotosha Wakristo. Yesu hakufunga siku 40 ili akateswe, alifunga ili aanze huduma yake

    Watu wa Roma ni wapagani waliochangamka, Italy kwa Papa[emoji1787][emoji1787]
  7. Blvck Inc

    Hakuna wa kumzidi Lunya kwa sasa

    Kiufupi wapo maraper wazuri ambapo ukianza kuwataja Ote Lunya hayumo kwenye hiyo List kabisa
  8. Blvck Inc

    Nampenda huyu dada ila hataki kuachana na mpenzi wake

    Piga kazi kiongozi Maana Aliko mkeo wakulungwa hawawezi kumuacha salama.
  9. Blvck Inc

    Hakuna wa kumzidi Lunya kwa sasa

    Top List kwa hii Generation ni mtazamo tu. 1.FidQ [emoji146] 2.Dizasta vina[emoji238] 3.Stamina[emoji981] 4.Monicetralzone[emoji350] 5.Con boi 6.Salmin swagg 7.Young killer 8.Young Lunya 9.Country boe 10.Motral the future SAB. Rapcha Marifaa Nacha Kontawa Ghafla bin Vuu.
  10. Blvck Inc

    Hakuna wa kumzidi Lunya kwa sasa

    Bro hiphop Gani unayoizungumzia apa?
  11. Blvck Inc

    Siku akitokea Rapa mkali kuliko FID Q naomba mnishtue

    The real fidQ, huyu jamaa anajua nafikili akichimba atamuachia Dizasta vina kuwa king wa Bongo hip hop hawa marapa wengine wameshindwa kufikia ata nusu ya hawa jamaa
  12. Blvck Inc

    Tundu Lissu atakuja kuwa Rais wa nchi hii

    Tangu nisome uzi wa Dark days 170320 Haitokaa itokee ni waamini wanasiasa au wanaojiita wanaharakati. Ni upumbavu trash kabisa[emoji41]
  13. Blvck Inc

    Hatimaye nimekamatika, naishi na mtu nisiyempenda

    Umeupiga mwingi bro huyo hawezi kukupa stress na kadili mnavyoenda unajikuta unamuelewa taratibu hatimae watoto wa tatu ndo maisha hayo. Hongera sana umefanya kikubwa ambacho wengi hawawezi kwa nyakati hizi
  14. Blvck Inc

    Nimekutana nae akiwa na beseni la mchicha kichwani na mtoto mdogo mgongoni

    [emoji28][emoji28][emoji28]We nae bana ujue kusamehe vitu..hapo ilitakiwa uombe tena match ya ugenini halafu unaanza kumuumiza kwa maneno kwamba ungekubali kipnd kile saiz ungekua mke wangu, me hapo ilkuwa lazima nimle bas ili ata akja kuludi kwenye form usipate shida kuiomba mbususu
  15. Blvck Inc

    Diamond Platnumz ndio msanii namba mbili Afrika kwa kumiliki magari ya kifahari. Mtandao mkubwa duniani watoa orodha

    Zero to hero[emoji881] ,halafu kama yupo Freemason jiunge na wewe maana usishangae siku ya hukumu ukachomwa moto kwajili ya zambi ya uzinzi na kuwaonea Wivu wengine wanapofanikiwa
Back
Top Bottom