Nampenda huyu dada ila hataki kuachana na mpenzi wake

tandabui2021

JF-Expert Member
Nov 5, 2021
3,120
5,362
Mimi ni baba ninafamilia ya watoto 3, lakini mimi na mke wangu hatuishi pamoja kutokana na yeye kufanyia kazi sehemu nyingine.

Katika pita pita zangu nikakutana na mwanamke mmoja 'black beauty' nyuma kafungasha (Nacy, lakini siyo jina halisi). Sasa kuna mdada mmoja ni rafiki yangu ninafahamiana naye nilivyomuuliza kuhusu huyo Nancy akaniambia hajaolewa ila amezalishwa tuu, wewe kama unamtaka nikupe namba.

Mimi nikamwambia nipe hiyo namba, dada akanipa ile namba tukaanza mawasiliano ya hapa na pale, mwisho wa siku tukakutana. Ila kwa maelezo yake Nancy amesema kaolewa ila huyo bwana wake hampi matunzo ya kutosha, na yeye anasema hataki kuzaa na wanaume tofauti tofauti.

Ila mimi kiukweli nikamwomba mbususu akanikubalia, nikamtia kwenye ndinga yangu nikampeleka nje ya mji kidogo, tulipofika kule nikaanza kumchakata mbususu, mtoto kaumbika kila nikitazama ule mzigo na rangi yake ya kambale najikuta ndonga imenyanyuka tena, sasa siku ya kwanza tuu nikajikuta nimeenda roundi 6.

Tatizo kubwa ni kuwa nimenogewa na huu mzigo na nimeshauri aachane na huyo bwana wake nimpe matunzo lakini huyu mwanamke anakuwa mzito, yaani mpaka sasa hivi nahisi kama huyu mwanamke kaniroga, yaani namuwaza yeye tuu muda wote.
 
Mimi Ni baba ninafamilia ya watoto 3,lakini Mimi na mke wangu hatuishi pamoja kutokana na yeye kufanyia kazi sehemu nyingine.Katika pita pita zangu nikakutana na mwanamke mmja black beauty nyuma kafungasha.(nacy,lakini sio jina halisi)sasa Kuna mdada mja Ni rafiki yangu ninafahamiana nae nilivyomuuliza kuhusu huyo Nancy akaniambia hajaolewa Ila mzito,Yani mpaka sasa hivi nahisi Kama huyu mwanamke kariroga Yani namwaza yeye tuu muda wote
Kwamba mkeo siyo black byuteee na hana mzigo and still ukamuoa huku ukijua unapenda kuzagamua vya hivyo..!!!
 
Kabla ya yote mkuu fikiria huyo bwana ake ndo ungekua wewe, take the position halafu kama ukiona ni sahihi nakushauri nenda kwa tambitambi
 
Kama mbususu anakupa hiyo inatosha mkuu ya nini ujiongezee majukumu na huku una familia yako kama vipi uwe unamtoa kiaiana ila mwache na huyo bwana wake
 
Piga kazi mtie mimba hui ndio uanaume..kama huwezi kazi nirushie namba yake.

#MaendeleoHayanaChama
 
Wewe endelea kula mzigo vizuri kwa ustadi mkubwa na usiache kuhudumia wataachana tu
 
Mla cha mwenzie na chake pia huliwa...
Huliwaje mm sijui.... UTI SUGU
 
Back
Top Bottom