Hakuna wa kumzidi Lunya kwa sasa

Soft rap ndio mziki wa kibiashara na ndo inafanya vizuri kwa sasa hizo hiphop ngumu mtaishia kusikilizia getto na masela tu. Nakupa mfano east Africa ukitaja Rapper bora bas ni Kaligraph jones hakuna ubishi na je yeye anarap kwa style gani? Hakuna ubishi tym changes. Huu ni wakati wa lunya
 
Nipo nyuma ya wakati lakini Mimi binafsi sioni uzuri wa Young Lunya... kukata kata maneno n.k
Kwanini rappers wa sasa hawatoki na hit single kama Dear Gambe au Dogo Janja kipindi anatoka unaona kabisa hit,
Lunya sielewi hata kwanini anajiita mbuzi,
 
Lunya hana hitsong
Lunya aliingia na style ya freestyle ndio imemtambulisha kwenye game. Mwanzo walianza kama Duo ya SMG ila waka split so far wote wakali Lunya, Conboi na Salmin Swagz
ila alie make it to the top ni Lunya.
 
Top List kwa hii Generation ni mtazamo tu.
1.FidQ
2.Dizasta vina
3.Stamina
4.Monicetralzone
5.Con boi
6.Salmin swagg
7.Young killer
8.Young Lunya
9.Country boe
10.Motral the future

SAB.
Rapcha
Marifaa
Nacha
Kontawa
Ghafla bin Vuu.
Kwa heshima fid q anatakiwa kuwa wa kwanza
Ila kwa sasa hv kipindi tulichopo DAZASTA muweke namba 1

Sent from my itel W6502 using JamiiForums mobile app
 
Lunya aliingia na style ya freestyle ndio imemtambulisha kwenye game. Mwanzo walianza kama Duo ya SMG ila waka split so far wote wakali Lunya, Conboi na Salmin Swagz
ila alie make it to the top ni Lunya.
Mimi nimemfahamu Lunya tangu akilelewa na Said Fella pale mkubwa na wanae. Mungu amsaidie apate walau hitsong moja tumuweke kwenye orodha ya marapa wakali.
 
Back
Top Bottom