Hii ndio Tanzania, zaidi ya uijuavyo, yaani haishi vituko. Mosi, gazeti la Uhuru ndio limekuwa Afisa Habari wa TRA? Pili, TRA walikuwa wapi mpaka Chadema ikakwepa kodi kwa miaka 19? Tatu, rekodi ya ulipaji kodi ya CCM iko wapi? Nne, TRA wameshindwa kukusanya kodi kwenye sekta nyeti ya madini...