Recent content by blueprint.

  1. B

    JamiiForums Tanzania Yupi bora, mwanaume anayeacha pesa au anayenunua mahitaji yote mwenyewe?

    Mimi siachi wala sinunui chochote mke wangu Ana ajira yake, lakini nimemfungulia biashara ambayo ni kubwa namaanisha ni kubwa na huwa namwekea pesa kwenye acc yake ya kutosha tu. Vitu vingine vikubwa vyote nafanya Mimi. Namaanisha kujenga, kabadilisha gari, kuongeza kipato nk na ki ukweli sijui...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kosa kubwa walilofanya January Makamba, Nape na Zitto

    Kikwete alionyesha nia toka 1995 na bado aliukwaa urais 2005. Hicho unachokisema ni theory tu.
  3. B

    JamiiForums Tanzania BREAKING NEWS

    Shetani kafariki? labda kaacha wosia wowote. ningetamani kuujua.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Je, wajua? - Special Thread

    Hahahahahahaha umenivunja mbavu. wanawake wanne?
  5. B

    JamiiForums Tanzania Diamond atoa jibu la utata kufuatia interview ya Ommy Dimpoz

    To be honest. hata kama dogo ni punga ila kichwani yupo vizuri kuliko mond. na kuwa na mafanikio haina maana una busara au akiri wakati mwingine mtu unakutana na zari unabonyeza right button at the right time basi. unamshukuru mungu anayenyesha mvua kwa wema na wabaya
  6. B

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Magufuli ni kufuru, hauakisi ubanaji wa Matumizi

    Jamani ile misafara ina raha yake. hamuoni hata viongozi wa upinzani wakienda kwenye ziara hata wao huwa wanamisafara? huyu jamaa siyo malaika, anayo mazuri yake na mabaya hawezi kosa msitegemee muujiza. sisi tufanye kazi tulizonazo kwa bidii tu zitatulipa siku moja, tusio nazo tusikate tamaa.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Deni la Shigongo kumbe si kwamba anazungushwa kulipwa bali halilipiki

    Ccm ya JPM hiihii? akajipange upya. wenzake waliokuwa wanauza bic moja kwa elfu ngapi sijui!!! wametokomea yy bado anaota mchana.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Mnyoosho tu huu, pigeni pasi kama itabaki na mikunjo

    Too much.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Ni kwamba madirector wa WCB wamekosa kabisa ubunifu?

    Muziki wetu tunauua kama tulivoua soka la bongo simba na yanga tuu hata kama wanacheza ujinga ndiyo mechi zao zinajaza timu zingine hakuna washabiki. ndiyo hii ya timu za muziki hata waimbe ujinga tu watu wanashabikia kisa mond au kiba.non sense
  10. B

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Nguo za Mtumba: Ushauri na Muongozo wa Kuifanya kwa Mafanikio

    Mauricio ni pm namba yako mimi nafanya hiyo business na trh 15 kuna contena inaingia toka USA kama kweli una nia ni pm mimi nipo USA.
  11. B

    JamiiForums Tanzania 2015 vijana twendeni na january makamba kuwa rais

    hahahahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kweli nimeamini ukicheka na nyani utavuna mabua. yaani makamba naye anataka urais? kweli kichwa cha mwendawazimu si kwenye soka tu hata kwenye siasa yani kila mtu anajifunzia urais tz? daaaaaaah siwezi kuamini yani bora jiwe kuliko huyo makamba hivi...
  12. B

    JamiiForums Tanzania RAI: Mustakabal wa CHADEMA - CHADEMA and the way forward

    sijui kwa nn naamini katika usuluhishi. nadhani ni kwa sababu imani yangu inanambia kunapo mgogoro wowote ule iwe familia, kanisani, msikitini, chama na sehemu nyingine yeyote ile ukomavu unaonekana pale watu wanapomaliza tofauti zao na kuendelea kuwa pamoja lakini kufukuzana ina maana...
  13. B

    JamiiForums Tanzania John Mnyika: Uchaguzi wa CHADEMA Kitaifa ni Baada ya Uchaguzi Mkuu 2015!

    hivi uchaguzi hadi watu waamue? au haya mambo yanatakiwa yawe ndani ya katiba? vipindi vya uchaguzi vinatakiwa viainishwe na pia katiba inatakiwa iweke wazi ni wakati gani uchaguzi unaweza kusogezwa mbele au hata kufanyika mapema kuliko wakati wake. sasa t seemz hapa alitakiwa aeleze kama muda...
Back
Top Bottom