Recent content by Blue Iron

  1. B

    JamiiForums Tanzania Daniel Lema wa Safina redio

    Dah huyu jamaa alikuwa ni more fire, alikuwa na uwezo mkubwa wa kuomba bila kuchoka.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kwa wale mliowahi kufika Kongwa, ni jimbo choka mbaya kiasi kwamba Mbunge wake hafai kwa lolote!

    Baada ya kumsema au baada ya kusulubiwa?
  3. B

    JamiiForums Tanzania Ulafi na uroho wa vyakula ni tabia ya asili?

    Je huu ni sawa na uroho wa madaraka/cheo ?
  4. B

    JamiiForums Tanzania Niliwaonya wana CCM wenzangu mkanitukana sana, uchaguzi huu si lelemama

    Endelea kula chocolate, tuache na mambo yetu ya vyama
  5. B

    JamiiForums Tanzania Rais mstaafu, Jakaya Kikwete ahudhuria msiba wa Gabriel Ndugulile, Baba wa aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni

    Hatutaki tena kujua tokea post #6 tunauliza huyu baba ni nani?
  6. B

    JamiiForums Tanzania Spika wa Bunge la JMT siyo lazima awe Mbunge. Mnaoshangilia anguko la Makonda angalieni furaha ya nyani isije kuishia jangwani

    Mkuu ulisikiliza kwa makini hiyo (attachment )clip? Makonda hayupo hapo huyo msemaji anacheza na akili za watu. Legally /spiritually Makonda sio DAB.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali: Nashauri Serikali iwanyang'anye passport za kusafiria wale wote waliotukana, kudhihaki na kumsema vibaya Rais wetu

    Nchi haipaswi kuunda sheria/kanuni kwa kufuata mihemko ya kisiasa . Kumbuka yawezekana kabisa chama kinachounda/kinachoongoza serikali leo kinaweza kikawa chama pinzani kesho
  8. B

    JamiiForums Tanzania Shuhuda za waliowahi kukutana kupitia JF

    Unamjuaje kuwa ni mdada Wa sifa hizo ilhali anatumia utambulisho usio halisi , fake id ?
  9. B

    JamiiForums Tanzania Radical Islam vs Islamic Identity and Islamic nationalism

    What does the "Shura letter" say?
  10. B

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli udhaifu huu ufanyie kazi

    Kumbe ni my wife wako ndiye alikuwa surprised wewe hukuwa surprised?
Back
Top Bottom