Recent content by Blogaboy

  1. B

    JamiiForums Tanzania Ninataka kuwadai Halotel fidia kwa usumbufu walionipatia

    Uvumilivu maana yake nn
  2. B

    JamiiForums Tanzania Ninataka kuwadai Halotel fidia kwa usumbufu walionipatia

    Basi,walitakiwa kukataa kunihudumia..,au wangetoa hiyo huduma Bro,inaonekana upo mbali sana na swala la digital networking, subiria vyombo vya habari
  3. B

    JamiiForums Tanzania Ninataka kuwadai Halotel fidia kwa usumbufu walionipatia

    Wakuu kwema? Nina shida hapa imenitokea, mnamo tarehe 23 nilituma pesa kama Tshs 500k kwenda namba ya voda tokea halotel, ila nikajagundua nimekosea namba, Nikawapigia halopesa, wakaniambia nisubiri masaa 72 pesa itarudi, Nikawa mpole nikasubiri, masaa yamefika 100,pesa haijarudi...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Nahitaji tani 50 za mbaazi

    Wakuu, kwema? Nahitaji tani 50, mwenye Nazo au napoweeza kupata karibuni sana.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Nani anafaa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi baada ya kifo cha Balozi John Kijazi?

    Wanajamvi, Kwema? Kwa zilizo chini ,ni kwamba huyu mwamba DAB ndie mrithi wa kijazi,na uteuzi wake utaanza soon,ila washauri wa mzee wamempinga,lakini pia kama mjuavyo mzee hapangiwi yeye hujua nani acheze full time na nani atokee bench, Stay tuned
  6. B

    JamiiForums Tanzania Walimu 5000 kati ya 8000 walioajiriwa, wasitishiwa ajira zao

    Baada ya tafrani kubwa Kuhusu ajira za walimu zilizotangazwa, hatimae kimya kimya walimu 5000 wapigwa stop baada ya kugundulika hawana sifa za ualimu wengi wao wakiwa ni mathematician, engineer's, BVM na wataalam wa accountancy! Hata hivyo chuo cha ekernfors Tanga, kimeingia ktk kashfa baada ya...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Nahitaji web au app,inayopokea sms online

    Okay, Mfano,..nataka jiunga na Galsport betting na kuwa na acc kama 10 hivi,...,ila namba yangu,nishajiunga NAyo..., nataka virtual number ili niweze confirm maaa code wanatuka humo
  8. B

    JamiiForums Tanzania Nahitaji website au App inayoruhusu kupokea sms online

    Yap, but its virtual numbers
  9. B

    JamiiForums Tanzania Nahitaji website au App inayoruhusu kupokea sms online

    Nimekucheki mkuu
  10. B

    JamiiForums Tanzania Nahitaji website au App inayoruhusu kupokea sms online

    Habari wanajamvi, Nahitaji web au app inayoruhusu nipokee SMS online kwa hapa Tanzania, kuna registration nataka kubypass verification!
  11. B

    JamiiForums Tanzania Nahitaji web au app,inayopokea sms online

    Habari wanajamvi,.. Nahitaji web au app inayoruhusu nipokee SMS online kwa hapa Tanzania.., kuna registration nataka kubypass verification! Thanks
  12. B

    JamiiForums Tanzania Fahamu jinsi ya kuhama Combination au Chuo ulichochaguliwa

    Habari wana jukwaa, Nikiwa Kama senior member humu, ninaleta mbinu za kuhama shule au chuo ulichochaguliwa Baada ya Tamisemi Ku allocate Majina ya vijana waliomaliza form 4 mwaka Jana 2019 vijana na wazazi wengi wamekuwa wakilalamika Sana kuhusu uchaguzi huo! Gvt kupitia Kwa Bwa. Jafo...
  13. B

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI: Yatangaza waliochagulia kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo 2020/21

    Nimewahi fundisha maswa girls miaka 2 See me DM
Back
Top Bottom