Habari wakuu.
Mnamo wa mwaka jana mwezi wa nne nilipata kazi kwenye kampuni moja hivi, tulikubaliana kiasi cha mshahara take home itakuwa 500K. nilivoanza, nilikuwa napokea cash kwa accountant bila makato yoyote.
Yaani ilikuwa hiyo 500k hadi mwezi December. Nilikuwa situmii bank, na...
Wakuu habari za wakati. ni muda sasa toka nimemaliza chuo, mwaka huu mwezi wa saba natimiza miaka miwili mtaani.
Chuoni nimesoma Shahada ya Teknolojia ya Habari za Biashara (bachelor in bussiness Infomation Technology). Mwaka jana mwezi wa pili nimepata kazi kwenye kampuni moja hivi ya...
Wakuu,
Kwa wale mliopo makazini, hasa upande wa system admin and networking, naombeni interview questions based on the real world scenario and application.
Kama unaweza kunisaidia na practical questions, hasa zile most tasks za ofisini, naomba mnisaidie wakuu.
wakuu kila mara nakuja humu kuomba kazi, napost thread lakini watu wanaangalia tu, jamani mnataka niendelee kuteseka hivi hivi?
Aya!
nina bachelor degree ya Business IT.
experience in networking, (I have worked as an intern at PowerComputers Company Limited, Posta Dar es Salaam) for four (4)...
Wakuu, habarini za saizi, kama mada inavyojieleza hapo juu, nina ujuzi na programu ya QGIS (Quantum Geographic Information System) . naombeni mnisaidie ni namna gani naweza kupata kazi hizi za GIS. je hapa Dar kuna kampuni lolote linalohusiana na haya mambo ya GIS? kama lipo, naombeni mnisaide...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.