Recent content by blessingsfavoured

  1. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Duuh sasa hiyo kweli ilikuwa too much lakini sishangai ndio tabia za costa na ndivyo alivyo nikizingumzia kuwa ana nature ya ukorofi
  2. B

    JamiiForums Tanzania Huyu mama anaendesha basi la kampuni gani Mbeya-Dar?

    Haendeshi ndenjela anaendeaha tashriff ya tanga dodoma
  3. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wazee wenzangu wa groovy, 70's zilipendwa.....!!!

    Mkuu umelenga hizo nyimbo hadi raha
  4. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hongera mkuu
  5. B

    JamiiForums Tanzania Dar Coach wazidi kushusha bei zao za uundaji body za mabasi

    Nionyeshe mahali ninapo weza pata yutong tatu kwa usd 217000
  6. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu mikeka ya leo vipi imekaaje??
  7. B

    JamiiForums Tanzania Dar Coach wazidi kushusha bei zao za uundaji body za mabasi

    Acha uongo badilisha hiyo elha kuja bongo alafu ndio utajua yutong moja ni almost milion mia tatu za kibongo sasa hapo tatu zinatokea wapi???
Back
Top Bottom