Njia pekee ya kutawala milele watu ni kuwanyima elimu na kuwafanya wawe na maisha magumu, wanajua ukiwa na Maisha mazuri akili yako itafunguka lakini ukiwa na njaa muda mwingi utawaza kuhusu tumbo
Nilichomwelewa ni kuwa hatutakiwi kuwatenga wenye dhambi, na dhambi sio ushoga na usagaji tu, HUKOHUKO kuna wezi, wazinzi na waongo, ukianza fukuza kanisa halitabaki na watu
MWISHO MWENYE KUHUKUMU NI MUNGU PEKEE SIO BINADAMU MSIJIPE MAMLAKA HAYO KUMBUKENI WENGINE HUONGOKA SIKU YA MWISHO YA...
Wanaipongeza atm kwa kutoa fedha zao wenyewe, shida uchawa na ujinga umezidi,
Yani unaweza ukamuona mwanaume mzima anavyompamba na kumsifia mwanamke mwingine au kipindi cha nyuma kwa magu hadi unajiuliza ana familia kweli huyu au?? Mambo mengine hadi ukiangalia unaona aibu
Hii nchi tutaona mengi, MWINGINE alituambia tuhame nchi twende Burundi, huyu leo anatufukuza dar twende kijijini, bado mnaona hii nchi yenu??? Ya wachache wenye mamlaka
Labda wanafikiri dhambi ni ushoga na usagaji tu!!, Kama hata uongo, wizi, ukahaba na mengine maovu mengi basi tutawafukuza wote kanisani, daima tambua kanisa ni la wenye dhambi,
Kwa sisi wakristo kwenye biblia Yesu aliulizwa kwa nn anashinda na kula na wenye dhambi?? Akawajibu wenye afya...
Isingekuwa ajira serikali yako tukufu ya CCM Isinge halalisha na kuwa kama chanzo chake cha mapato ikikusanya mabilioni yanayotumika kuwalipa posho na mishahara nyinyi,
Badala MSHUKURU mnasimama kutwa majukwaani mkishakula mmeshiba kuwatukana hao vijana kana kwamba wanakuja kuwaomba majumbani...
Kila unachokifanya kwenye Maisha Yako ni betting, as long as hujui hata dakika mbili zijazo nn kitatokea, hivyo Maisha yote yamejaa ubashiri mtupu sema mnakosea mnapo specify baadhi ya Mambo, waacheni vijana wabet, kama hamtaki waingie maofisini wawatoe kwa nguvu muwaachie hizo nafasi
Wapo bize...
Mkishakula mmeshiba na hivyo viajira mlivyonavyo mnaona kila anayehangaika Mtaani au kubeti anapenda, usiwaone watu wote wazembe kisa mlango wako wa mafanikio umefunguka mapema
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.