Acha kuwapa presha wanawake, ninyi ndio mnaoharibu mindset za wanawake kwa kuandika thread ka izi. Kila mtu hapa duniani ana wakati wake wa kuoa au kuolewa. Kama dada zako wanaolewa under 32 basi elewa pia wengine wakati wao sahihi wa kuolewa ni 34, 35, 36, 37, 38 n.k kama wewe umeolewa ukiwa 28...