Kwa haya yanayofanywa na waheshimiwa nimegundua kwanini Nyerere hakuitwa Mheshimiwa Julius Kambarage Nyerere

kalisheshe

JF-Expert Member
Mar 19, 2020
1,863
3,475
Habari zenu wanabodi.

Viongozi wetu wengi hapa nchini tumekuwa tukiwaita waheshimiwa.Nilipata shida Sana kujua kwanini tunatumia mwalimu nyerere badala ya mheshimiwa . Hizi siku mbili tatu ndio nimegundua kwanini

Ongezea ugunduzi wako tuendelee kuelewa kwanini hakuitwa vile.

Naipenda Sana nchi yangu

Nampenda baba wa taifa langu.
 
Tuwe makini tunatawaliwa na majitu hatari sana siku hizi. Tatizo ni uelewa finyu wa Watz wengi, mtaona mambo yatakavyokuwa kuanzia next year endapo ccm inachaguliwa, mtawakumbuka marais waliopita wooootena na hawatawasaidia.
 
mwalimu Magufuli na sasa ni dakitari na hapa ni hatari
Mwalimu alikuwa ni mwalimu.. anakufunza unafunzika
Zamani mwalimu ni cheo kikubwa na kilikua na hadhi
 
Mwalimu anakua na Haiba mtu mwwnye haiba anajiheshimu na anachuja cha kuongea.
 
Tuwe makini tunatawaliwa na majitu hatari sana siku hizi. Tatizo ni uelewa finyu wa Watz wengi, mtaona mambo yatakavyokuwa kuanzia next year endapo ccm inachaguliwa, mtawakumbuka marais waliopita wooootena na hawatawasaidia.
Umenikumbusha jambo, hiki ulichokisema nimewahi kuambiwa na 'muheshimiwa' (ndivyo wanapenda tuwaite) toka chama kizee. alisema haya uliyoyasema!
 
Mwalimu hakuwa mtu wa kujiinua, alikuwa mnyenyekevu pamoja na kuwa alikuwa na uwezo ama nafasi ya kujimilikisha mema yote ya nchi hii. Aliyaishi aliyoyahubiri!
 
Mw. Nyerere alikua wa kipekee sana, alikua mtu wa kwanza afrika kusoma nchini uingereza, alijawa na hekima, busara na uzalendo. hakutaka kujimilikisha mali kama baadhi wafantavyo leo. Alikuwa na kibali cha hali ya juu ndani na nje ya tz pia alipendwa sana na wengi, hotuba zake mpaka ii leo zinavutia sana. Alikua na vision-mpango wa makao makuu kuwa dodoma, chuo kikuu kujengwa dodoma (udom) n.k yote hayo yalikuwa ni mawazo,maono na mipango ya mwalimu nyerere Kifupi ile spirit ya uongozi was gifted by God
 
Tuwe makini tunatawaliwa na majitu hatari sana siku hizi. Tatizo ni uelewa finyu wa Watz wengi, mtaona mambo yatakavyokuwa kuanzia next year endapo ccm inachaguliwa, mtawakumbuka marais waliopita wooootena na hawatawasaidia.
Kweli naunga mkono hoja
 
Tuwe makini tunatawaliwa na majitu hatari sana siku hizi. Tatizo ni uelewa finyu wa Watz wengi, mtaona mambo yatakavyokuwa kuanzia next year endapo ccm inachaguliwa, mtawakumbuka marais waliopita wooootena na hawatawasaidia.
 
Habari zenu wanabodi.

Viongozi wetu wengi hapa nchini tumekuwa tukiwaita waheshimiwa.Nilipata shida Sana kujua kwanini tunatumia mwalimu nyerere badala ya mheshimiwa . Hizi siku mbili tatu ndio nimegundua kwanini

Ongezea ugunduzi wako tuendelee kuelewa kwanini hakuitwa vile.

Naipenda Sana nchi yangu
Nampenda baba wa taifa langu.
Mwalimu alipenda kutumia neno ndugu....
uheshimiwa hizo ni lugha za kipepari bepari la kiswahili ubwana na utwana
 
Mw. Nyerere alikua wa kipekee sana, alikua mtu wa kwanza afrika kusoma nchini uingereza, alijawa na hekima, busara na uzalendo. hakutaka kujimilikisha mali kama baadhi wafantavyo leo. Alikuwa na kibali cha hali ya juu ndani na nje ya tz pia alipendwa sana na wengi, hotuba zake mpaka ii leo zinavutia sana. Alikua na vision-mpango wa makao makuu kuwa dodoma, chuo kikuu kujengwa dodoma (udom) n.k yote hayo yalikuwa ni mawazo,maono na mipango ya mwalimu nyerere Kifupi ile spirit ya uongozi was gifted by God
Yote umeongea sawa ila hakuwa mwafrica wa kwanza kusoma wingereza.Wapo waliomtangulia mkoa wa Kilimanjaro na Bukoba kwa hapa Tanzania tu ukienda nchi zingine kina Kamuzu Banda na Mugabe je na wengine wengi tu
 
Back
Top Bottom