Inauma sana...

Kuachana ni jambo lingine. Mbona nyie huwa hamuwaachi wake zenu ilihali mnachepuka?
sie kutoridhika ni hulka yetu mkuu bt nyie kujiheshim ndo hulka yenu hivo mnapochepuka mnavuka mipaka ya kujiheshimu
 
Sio nyie kila siku mnatwambia "mwanamke haridhiki" ila likija suala la kuchepuka mnajisahau eeh? Kutoridhika ni hulka ya binadamu. Hata wewe ukichepuka unakuwa ushavunja heshima.
 
mwanaume husifika akiwa kitombi bt mwanamke hunangwa akifanya hivo je kungekua kuna usawa kwa jinsia zote kwa nini wote wasipate sifa moja?
 
Social steriotyping.
Sasa kwakuwa mliizoea hali hiyo zoeeni tu na hii mpya tu maana hamna namna.
 
Hapa duniani nawapenda watu wote ila namwamini Mungu tu. Hata wazazi wangu siwaamini
note that "....wapende wote ila usiwaamini..."
 
IMG_8410.jpg

Yiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiih.........
 
Back
Top Bottom