Recent content by Bless Hackerson Mg

  1. Bless Hackerson Mg

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Apps nzuri za Tanzania kwa ajili ya Mtanzania, Zilizotengenezwa na Watanzania

    Ongeza hizi. Chekaapp Inakupa vichekesho vya kila siku kwa njia ya post za kawaida, picha pamoja na videos. Link cheka – Applications Android sur Google Play Nipime app A simple but powerful app which enable student to do real time quizzes on Mathematics, physics, Biology, Chemistry and other...
  2. Bless Hackerson Mg

    JamiiForums Tanzania MANENO KUNTU YA Mwalimu Julius K. Nyerere

    ni kweli kabisa
  3. Bless Hackerson Mg

    JamiiForums Tanzania MANENO KUNTU YA Mwalimu Julius K. Nyerere

    Wakati mwingine watu tukizungumza shida za jumuiya, yaani siyo shida za mtu mmoja mmoja. Ni wajibu wetu kuhakikisha kwamba kwa kweli hizo ni shida za jumuiya, siyo uzushi wetu wenyewe kwa faida yetu wenyewe. Mambo tunayozungumza katika mikutano yetu hayana budi yatokane na watu wenyewe huko...
  4. Bless Hackerson Mg

    JamiiForums Tanzania Gharama zilizotumika kwenye Bunge Maalum la Katiba Je zinaendana na kilichofanyika?

    Tovuti ya Vitabutanzania kila wiki huwa inakuletea Swali la wiki ili kujua Wanachi wana Maoni gani katika Mada Husika. #swaliLAwiki hiii Gharama zilizotumika kwenye Bunge Maalum la Katiba Je zinaendana na kilichofanyika? Tafadhali wasilisha Majibu yako hapa ▶&#9654...
  5. Bless Hackerson Mg

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuza kiswahili hapa ( tujivunie kiswahili )

    Habari WAungwana, Leo Na wapa Siri Chache za Kiswahili. 1. Je Unajua Kua Kiswahili Kina Zaidi Ya Methali 600? 2. Je Unajua Kua Kiswahili kina ZAidi Ya Nahau 350? 3. Je Unajua Kua Kiswahili Kina zaidi ya Vitendawili 350? Kama Unataka Kuzisoma au Kumpatia Mwanao Methali, Vitendawili na Nahau Hizo...
  6. Bless Hackerson Mg

    JamiiForums Tanzania Mkombozi wa practicals za biology O level!

    tunalishughulikia then ntakujuza
  7. Bless Hackerson Mg

    JamiiForums Tanzania Mkombozi wa practicals za biology O level!

    Zinafanya kazi ndugu yangu
  8. Bless Hackerson Mg

    JamiiForums Tanzania Mkombozi wa practicals za biology O level!

    asante AL - SHABAAB
  9. Bless Hackerson Mg

    JamiiForums Tanzania Mkombozi wa practicals za biology O level!

    vitabu vipo vingi sana nazani baada ya sikukuu ya Pasaka tutavitoa vingine vingi
  10. Bless Hackerson Mg

    JamiiForums Tanzania Mkombozi wa practicals za biology O level!

    Kama wewe ni mzazi mwenye Mwanafunzi wa O level (kidato cha i - iv), Au ni mwanafunzi wa O level (kidato cha i - iv) pata Bure nakala ya kitabu hiki kinachoelezea jinsi ya Kufanya Practicals za Biology kwa ngazi ya O level. Nakala hii inapatikana hapa >>...
  11. Bless Hackerson Mg

    JamiiForums Tanzania Ukusanyaji wa maono kuhusu idadi ya selikari za jamhuri ya muungano wa tanzania

    #pazaSAUTI Usikike Saidia kukusanya Maoni yako Kuhusu Swali hili linalogonga vyichwa kwa sasa. Unapenda Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Iwe Na Selikari Ngapi? Mbili au Tatu? Maoni yako ni Muhimu sana Wasilisha Maoni yako katika tovuti yetu kupitia Link hii..>> Vitabutanzania | Swali La Wiki
  12. Bless Hackerson Mg

    JamiiForums Tanzania Maswali 97 ya history form one mpaka form 4

    Kwa wanafunzi wote wa Olevel, Au una Ndugu yako wa O level, Download kitabu hiki chenye Maswali ya History Kuanzia form One Mpaka form 4. http://www.vitabutanzania.com/book.php?bookid=vtsn002
  13. Bless Hackerson Mg

    JamiiForums Tanzania Katika kuendeleza elimu ya tanzania hiki ndo nilichofanya

    Asante ndugu wanajamii wenzangu. kwa jina naitwa bless mgongolwa, Nipo kidato cha 6 PCM katika shule ya secondary BENJAMIN WILIUM MKAPA, Katika kujitolea kuendeleza elimu ya tanzania Nimebuni TOVUTI inayoitwa VITABU TANZANIA yaani (Vitabu )ambayo itakuwa ina shughulika na kuweka MATILIO, MAKALA...
  14. Bless Hackerson Mg

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    natafuta kazi kulingana na mambo hayo hapo juu
Back
Top Bottom