Recent content by blastus mwakimonya

  1. blastus mwakimonya

    JamiiForums Tanzania Wewe unayetuzimia mitandao naona unavuka mipaka yako usijione wewe ndiyo bora kuliko watanzania nakuonya

    ni ujinga na woga usio kuwa na maana yeyote,pumbavu kabisa .
  2. blastus mwakimonya

    JamiiForums Tanzania GE2025 Je, Vigezo vya Kujua Kusoma na Kuandika Vinatosha Kuamua Ustahiki wa Mbunge?

    watu walio soma sana ni waoga wa kufanya maamuz. .. kwa mawazo yangu katiba ingeweka kiwango cha elimu cha mgombea kianzie angalau kidato cha nne
  3. blastus mwakimonya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba msaada tafadhali

    Unasema MCHEPUKO hauna alikili lakini umezaa nao watoto wawili bro are you serious kweli?! Wewe uliacha nyege zikutawale na sio akili saa hii unaanza kumlaumu mchepuko?! Wewe ndio mjinga sio huyo demu. Na hata ukimfungulia biashara unauhakika anaweza mudu biashara?!
  4. blastus mwakimonya

    JamiiForums Tanzania Siku ya tano hii narudishiwa chenji iliyozidi na kwenye daladala nasahaulika.

    Wewe ni mwi Wewe ni mwizi. Hizo hela za watu rudisha
  5. blastus mwakimonya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nadhani nilikosea kuoa binti niliemzidi sana umri

    Mpakie mkongo🏃🤣
  6. blastus mwakimonya

    JamiiForums Tanzania Nani mkali kati ya Shaggy na Sean Paul

    Shaggy na Sean Paul ni vizazi tofauti vya dancehall kuwashindanisha Hawa ni ngumu. If u real know their background kimuziki
  7. blastus mwakimonya

    JamiiForums Tanzania Rais, kwa mara nyingine unatukosea Watumishi wa Umma nyongeza ya mshahara

    Msubiri hela za kusumamia achaguzi🤣🤣🤣🤣
  8. blastus mwakimonya

    JamiiForums Tanzania Sakata la mwanafunzi kubakwa na mwalimu Jimmy lina ukakasi lakini ipo shida kwa mwalimu

    Mi nachojua mabweni ya kike Kuna matron wao. Kwa shule kubwa ka pandahil haingii akilini kukosa matron Hadi mwalim jimmy aingie kwenye bweni la kike. Kuna Jambo hapo halipo sawa.
  9. blastus mwakimonya

    JamiiForums Tanzania Nimefinywa korodani na huyu binti wa chuo

    🤣🤣🤣🤣
  10. blastus mwakimonya

    JamiiForums Tanzania Joseph Mbilinyi (Sugu): Nitagombea popote atakapogombea Tulia, hatujamalizana!

    Ila Kuna watu wakorofi mweee🙌🙌🙌🤣🤣
  11. blastus mwakimonya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namuogopa mpenzi wangu nikisikia sauti yake

    Kuna wakati unaweza ukawa na maradhi na ukajihisi upo sawa. Unaweza ukalogwa na usijue kua umelogwa.
Back
Top Bottom