Aisee watu wamekosa uvumilivu kabisa
mwanasheria kajichukulia sheria mkononi kaona bora agawe majengo
pole kwa familia zote mbili
mapenzi yana maajabu mengi sana!
Wabongo bila kubadili mentality tutakuwa na kizazi cha ovyo sana
Just imagine kila siku ni kitu kipya kina trend
Ukifatilia toka enzi za freemason
kikombe cha babu
Popo bawa dudu baya na ujinga mwingi ndo utajua kwanini wa tz sisi ni mapimbi fvcn heads!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.