Binafsi nashangazwa sana na mambo ya CCM na serikali yake, juzi tumeona wakiwa kwenye mkutaao wao mpaka watu wao walibebwa na gari la polisi lakini leo ajabu polisi haohao wanaagizwa na serikali kuzuia mkutano wa Chadema. CCM ni chama tawala na ndicho kilichoshikilia dora, je ni nini shida yao...
Madaraka yanawapa kichwa sana viongozi waliopo kwenye dora kufikia hatua mpaka kujipa utukufu kuona wengine hawana thamani ya kuishi.
Kupindi vyama pinzani vinapitia masurubu mpaka kufika kupotezewa uhai kwa baadhi ya viongozi wa upinzani na wanachama CCM na genge lake wao walipongezana na...
Wanawake/mabinti wamejikosea thamani kifupi jinsia hii imekwisha potea hata huku nilipo ni shida kubwa kifupi kama taifa tunapitia kipindi kigumu sana.
UONGOZI NA RUSWA!
Rushwa inazid kuwa tatizo kubwa kwenye uongozi wenye nacho wanazid onekana kuwatawala wasionacho na hii hutokana na viongoz walioshikilia madarak kuendeshwa na tamaa ya fedha kuliko utu wa wananchi,, NIGUSIE UONGOZI WA KURUGENZI YA WILAYA YA MISUNGWI MKOANI MWANZA,, hapa kuna...
Kinachotengenezwa na CCM,kwa sasa ni kuvipa furusa vyombo vya ulinzi ipo siku vitatumia hiyo faida kurudisha fadhira kwa wananchi hasa jeshi litakapokuja kubadil mawazo sijui nn kitatokea, ngoja safar hii haita kuwa ya karne nyng kwa nchi hii
Wamapitiliza kwenye ujinga, kwanza wanazid tumia rasilimali za wananchi kwa mambo yao ya kijinga kwa kusomba watu kupeleka kwenye mikutano yao kweli ni ujinga zaid ya ujinga iman yao kwa wat imekwisha potea zaid wanabak kutapanya fedha za umma ovyo ahali wat wanatabu nying mtaani,CCM laan hii...
Issue siyo wao kutengwa ila wameamua kusimamia mising ya utambuzi na uwajibikaji wa haki kwa kufuata misingi ya haki na usawa na hiyo ndy imekuwa sumu kali kwa walinda tumbo
Haiwez kuwa sawa yeye ndiye mtendaj mkuu wa serikali lakin amejawa na uongo sana kwenye suala la magufuli alisema uongo bado kwenye bandari pia hvyo huyo siyo kiumbe wa kuaminiwa...., ua tuseme nae anamuogopa nani kama Mama???
Vijana weng hawana future hao ndy wanasema iuzwe au isiuzwe ilimrad mm nakula basi!!, wanashindwa kuwa serious na vitu vya msing kazi kupiga puchu tu ndy maana hawa wahun wanatuwin sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.