Siku moja watoto wako watakuja kumchora Lisu kwenye kuta za vyumba vyao kama shujaa na mpigania haki wa kweli. Ni kama askari walio shirikiana na mabeberu kumua Lumbumba leo watoto wao wanamlilia.
Balile anasema aliandika makala juu ya oct29 lakini hiyo maka inaongelea vitu na nyumba zilizochomwa moto yaani yeye hakuona miili ya watu iliyo zagaa barabarani na jinsi watu walivyo pigwa risasi za moto, Yeye aliona nyumba inaungua moto tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.