Recent content by blackstarktz

  1. blackstarktz

    JamiiForums Tanzania Natafuta software ya kuratibu mahesabu ya dukani

    Apo labda ufunge cctv camera afu kwenye swala cashier unakaa ww, mteja akija unamwandikia order yake kwenye receipt. iyo receipt mteja anaichukua anapelekea hao ndugu zako anawaonesha, wanamtolea kret kutokana na idadi ilivyo andikwa kwenye receipt then mteja anarudishiwa receipt yake...
  2. blackstarktz

    JamiiForums Tanzania Je, muonekano wako hauendani na umri wako mpaka kusababisha ukose baadhi ya michongo?

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  3. blackstarktz

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya ulevi: Jinsi inavyoumiza familia na jamii

    Uliwezaje kuacha vitu hivyo kwa mara moja? Na wakati kiu(arosto) ikikushika ulikuwa unatumia nn ili kutuliza kiu yako?
  4. blackstarktz

    JamiiForums Tanzania Mgeni kazingua mbaya siku ya Jumapili, kisa ushindi wa Simba!

    [emoji23][emoji23][emoji23] mlevi na ngono ni kama suruali na mkanda
  5. blackstarktz

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa CCM badala ya kujadili kero za ugumu wa maisha, anashauri Mawaziri wajengewe sehemu za starehe. Hii ni aibu

    Wajengewe night club wakati huko mbeya wanafunzi wanasoma kwa shida hata madawati ya kukalia hawana
  6. blackstarktz

    JamiiForums Tanzania Kama unamuona Hakimi ni hatari, Basi wacha nikujuze kuhusu huyu mwamba

    Iyo kitaalam inaitwa maliza kabla hujamalizwa
  7. blackstarktz

    JamiiForums Tanzania Angalizo: Usinunue Chombo Cha moto kama huna fundi wako

    Watakula wapi wasipo pata pakuwapigia
Back
Top Bottom