Recent content by BLACKMIRROR

  1. B

    Uongozi Basi la Tashriff: Tulishindwa kuzuia utekwaji wa mzee Ally, kwani Watekaji walikuwa na Silaha za Moto

    Mengi yanawezekana tatizo wenye uwezo wa kuyafanya ndiyo hao waliofanya.
  2. B

    Serikali inaagiza sukari nje karibu kila mwaka wakati Tanzania inaweza kuwa inaongoza kwa uzalishaji wa muwa unaoachwa ufie shambani

    Kagera sugar na serikali wanapaswa kukaa chini na kumaliza tofauti zao, kinyume na hapo wakulima wa miwa wanaendelea kuumia, hadi tarehe ya leo mashamba mengi yamejaa miwa, ni muda wa kuvuna ila kasi ya uvunaji ni ndogo sana, mvua zinaanza kunyesha na miwa itaharibikia shambani kama msimu...
  3. B

    Nimemfumania zaidi ya mara tatu na kusamehe, nimemuambia kumuoa anakataa

    Kijana hizi ni akili zako au umechanganyikiwa
  4. B

    Inadaiwa Lucas Mwashambwa amepewa nafasi CCM ndio maana haweki namba siku hizi

    Unadhani hatukujui ndani ya CCM ? boss unajulikana tu
  5. B

    Mfahamu Mzee Mwinyi: Mtanzania wa Kwanza Kuwa Rais Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Habari imenivutia sana umejua kuchanganya lugha na mvuto wa kipekee umejidhihirisha ,japo sijaweza kumaliza kusoma yote ila nitaendelea nayo. Asante sana
  6. B

    Kumfanyia interview mwalimu ni kumsumbua na kumpotezea muda tu, ni urasimu

    Ahhh umenikumbusha mbali sana kiongozi, mwaka fulani vijana wanapigishwa usaili kwa kazi fulani, kuna vijana machachari kutoka vyuo pendwa na vyenye hadhi iliyotukuka hapa nchini , na kumbe miongoni mwa wale vijana kuna mnyonge mmoja kutoka chuo fulani nadhani kile cha Mwanakondoo Ameshinda...
  7. B

    TANESCO: Kati ya Vijiji 12,318 bado Vijiji 151 tu kufikiwa na umeme

    Milions of money wanazowekeza kununua mi dege inayotia hasara taifa kila mwaka wangewasambazia umeme watu kwa mkopo ikawa kila mwezi wanakata elfu kumi tu kupitia luku kwa muda fulani nadhani wangevuna pesa ya kutosha na wakati huohuo wakiboresha maisha ya wananchi, SERIKALI YETU INAKOSA WATU...
  8. B

    TANESCO: Kati ya Vijiji 12,318 bado Vijiji 151 tu kufikiwa na umeme

    very nice, suala la umeme ni changamoto sana haswa kwa sisi raia wa kipato cha chini, hivi mkulima wa kawaida ambaye anao uwezo wa kulipa bill kuanzia elfu 5 hadi kwa mwezi tu unamwambie atoe milioni tano kufikishiwa umeme kwakwe itawezekana kwakk, kwanini serikali isimfikishie umeme alafu...
  9. B

    Kwa hilo la UMEME Nchi nzima hongera Serikali.

    0ngea mambo mengine suala la umeme bado sana, asilimia kubwa umeme umefika ila asilimia kubwa sana watu hawana umeme na wahitaji ni wengi sana, serikali imeweza kufikisha umeme sehemu za mijini na sehemu yaliko makao makuu ya kijiji au vijiji na sehemu ambako kuna huduma za kijamii kama shule za...
  10. B

    SoC04 Serikali iwaunganishie wananchi umeme bure, wakatwe kwenye luku. TASAF iweke utaratibu wa kuzilipia kaya masikini

    Huu ndo uzi wangu bora kwa muda wa miaka 5 iliyopita na kwa miaka 6 ijayo. Umeongea jambo kubwa na la maana sana, kama leo ungekuwa unagombea nafasi yoyote ya ki utawala inayohitaji ushawishi wa jamii basi ungeniachia kazi ya kukunadi, Tumelia sana na TANESCO ili iweze kusaidia watu kupatiwa...
  11. B

    Mama amshauri mwanaye kuacha kazi kisa ndoa

    huyo binti aliye acha kazi ni tahira namba moja
  12. B

    Kafulila: Kama kuna mtu au kampuni wameona kuna mradi serikali inauendesha kwa hasara na wana mbinu za kuifanya serikali na wao kupata faida waje

    Tanesco hata kama siyo hasara lakini tanesco ni janga sana kwa taifa, haiwezekani wameshindwa kusambaza umeme nchi nzima kisa tu hawana nguzo na ukienda kwenye vituo vyao nguzo ziko chini zimerundikwa na kutafunwa na mchwa. Lakini pale Tanesco kuna magenge ya wezi ya kutisha. Tanesco bora...
  13. B

    Baadhi ya Viongozi wa Dini mpo upande gani kuhusu yanayoendelea nchini?

    Wanasubiri kukusanya sadaka tu makondoo wao tu
Back
Top Bottom