Naombeni msaada Kwa wenye uzoefu katika jambo hili.Nilikuwa nahitaji kuagiza ngano na mafuta ya kula Moja Kwa Moja kutoka kiwandani.Hivyo naomba kujua utaratibu wake upoje,wanaanzia pcs ngapi minimum,namna ya kuweka order na utofauti wa Bei maybe ukilinganisha na ya wholesalers Huwa inarange...
Kwenye Dunia hii ya mabeberu watu wanaoongoza kutengeneza hela ni wafanyabiashara, wakifuatiwa na watu wenye vipaji, kisha watu wenye taaluma zenye demand kubwa na kuendelea.
Huenda this fact imewafanya watu wengi waamini biashara ni mlango wa nyuma wa benki, yaani njia ya kupata hela nyingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.