Recent content by blackcrow

  1. blackcrow

    Kesi ya Mbowe: Makamanda Tunapopigwa Bao

    viagra homme pas cher Jake, vous devez donc tout trouver maternelles et fЕ“tales graves, pour traiter un faible dГ©sir sexuel. viagra femme forum stories www.viagrasansordonnancefr.com Le score de base et le cialis ou acheter score final pour chaque question sep sildГ©nafil parallГЁlement Г...
  2. blackcrow

    Foleni hapa njia ya Kibaha kwenda Morogoro siyo powa

    Niko hapa Kibaha barabara inatengenezwa yan hii barabara toka kitambo haiishi tuu dah magali hayatembei kabisa nimeganda apa masaa 2. fly over zinawahi kuisha ila hizi barabara ndogo ndogo inaweza kukaa ata mwaka af CCM OYEEEEEE UJINGA TUU
  3. blackcrow

    Mabasi yasiruhusiwe tena kutembea usiku kwa ajili ya usalama wa abiria

    sijaomba support yako faza kama yalikushinda ungetambaaa usinge comment kabisa
  4. blackcrow

    Idi Amin Dada akiwa amebebwa na wazungu

    Pichani ni #Al-hajj Idi Amin Dada akiwa amebebwa na wazungu akizungushwa katika mitaa mbalimbli ya Jiji la kampala nchini uganda. Hii picha inafichwa sana na wazungu kutokana na kitendo cha Iddi Amin. #Idi Amin baada ya tukio hilo alisema Afrika tunaweza kuitawala Ulaya na Amerika kama ambavyo...
  5. blackcrow

    Mabasi yasiruhusiwe tena kutembea usiku kwa ajili ya usalama wa abiria

    Juzi nilikuwa natoka Morogoro naenda Dar es salaam ilikuwa usiku mida ya saa 7 nikiwa na imani Magufuli alisharuhusu mabasi kutembea usiku na mchana. Basi nililopanda lilikuwa OSAKA likiwa limetoka TABORA, basi safari ya kwenda Dar iliendelea mara baada ya abiria kuchimba dawa na mm...
  6. blackcrow

    Haki iko wapi kama Serikali ndiyo inaongoza kwa kufanya unyama

    sawa kaka sijui lakin nnavyo jua mm hakuna mshenz yyte ambaye ana mamlaka juu ya maisha ya mtu ata huyo raisi maisha ya mtu ni haki yake ya msingi ambayo haiwezi kuchukuliwa na mtu yyte yule
  7. blackcrow

    Haki iko wapi kama Serikali ndiyo inaongoza kwa kufanya unyama

    kwan kaka mtu yyte aliye pointiwa kuwakilisha taifa na viongozi wa taifa si ndiy serikali mwenyewe huyo au hukusoma civcs
  8. blackcrow

    Haki iko wapi kama Serikali ndiyo inaongoza kwa kufanya unyama

    sio kwa bongo kaka na hatakama watenda mazambi ndy wako madarakani sas kumamtenda zambi mwengine atakaye kuja kuwazulu
  9. blackcrow

    Haki iko wapi kama Serikali ndiyo inaongoza kwa kufanya unyama

    alikuwa hajui maana alikuwa katoka barabaraza ndani na kuingia lami bila kujua kinacho endelea
  10. blackcrow

    Haki iko wapi kama Serikali ndiyo inaongoza kwa kufanya unyama

    alikuwa hajui ata wewe uwe na garu yako unatoka kwako na kuingia barabaran moja kwa moja bila kujua kama kuna msafala af askari waanze kukushambulia
  11. blackcrow

    Haki iko wapi kama Serikali ndiyo inaongoza kwa kufanya unyama

    Askari wa bongo wakae wakijua kwamba ubinadam ni kitu cha kwanza kuzingatiwa kuliko kitu chochote kile hapa duniani na hao viongozi wanao wanyenyekea kiasi cha kuuwa au kuumiza watu wengine nao ni binadam kama jinsi walivyo wao. Leo nimestajabu sana baada ya bodaboda mmoja kupigwa fimbo na...
  12. blackcrow

    Acheni kubagua Wazazi

    Unakuta umefunga shule umekuja nyumbani kwenu kula likizo unamkuta baba yako hayupo unamuuliza mama yako kuhusu baba yako anakuambia baba yako yupo kazini Unakaa hapo nyumbani kwenu mwezi mzima Muda wote upo na mama yako. Mara likizo imeisha baba yako anakukuta uko chumbani kwako unapanga...
  13. blackcrow

    Kwanini wazazi wanaosomesha watoto wao chuo wasilipe ada wao wenyewe kuliko kuwapatia watoto wao

    Kweli leo nimeamini maneno ya mwanamziki wa kizazi kipya BANDO MC kwamba "ata chuo kuna wajinga ndiyo maana kuna mtihani" ni sahihi kabisa. Wazazi wengi wakitanzania wanaosomesha watoto zao vyuo vikuu huwa wana mtindo wa kuwapa watoto zao pesa za ada wakalipe wao wenyewe. Kwa asilimia kubwa mimi...
Back
Top Bottom