Foleni hapa njia ya Kibaha kwenda Morogoro siyo powa

blackcrow

Member
Sep 24, 2020
21
43
Niko hapa Kibaha barabara inatengenezwa yan hii barabara toka kitambo haiishi tuu dah magali hayatembei kabisa nimeganda apa masaa 2. fly over zinawahi kuisha ila hizi barabara ndogo ndogo inaweza kukaa ata mwaka af CCM OYEEEEEE UJINGA TUU
 
niko apa kibaha barabara inatengenezwa yan hii barabara toka kitambo haiishi tuu dah magali hayatembei kabisa nimeganda apa masaa 2. fly over zinawahi kuisha ila hizi barabara ndogo ndogo inaweza kukaa ata mwaka af CCM OYEEEEEE UJINGA TUU
Kongowe mzee sio
 
Tupiako kapicha chalii yangu
 
niko apa kibaha barabara inatengenezwa yan hii barabara toka kitambo haiishi tuu dah magali hayatembei kabisa nimeganda apa masaa 2. fly over zinawahi kuisha ila hizi barabara ndogo ndogo inaweza kukaa ata mwaka af CCM OYEEEEEE UJINGA TUU
Pole sana ndugu.
 
Kuna siku nilitoka hapo Mbezi saa Tisa Alasiri, nilikuwa na familia tunawahi kwenye harusi Morogoro. Tulikuwa na Private Car. Mpaka saa tatu usiku ndo tulifika Picha ya Ndege, karibia na kwa Martias, Tukageuza Gari tukarudi nyumbani Tegeta. Tulishindwa kuendelea na Safari. Tegeta tulifika saa Saba usiku.

Yan kulikuwa na bonge la foleni, Line zote mbili hazitembei.
 
Napenda nikukumbushe ccm ndio walioleta flyover
 
Kuna siku nilitoka hapo Mbezi saa Tisa Alasiri, nilikuwa na familia tunawahi kwenye harusi Morogoro. Tulikuwa na Private Car. Mpaka saa tatu usiku ndo tulifika Picha ya Ndege, karibia na kwa Martias, Tukageuza Gari tukarudi nyumbani Tegeta. Tulishindwa kuendelea na Safari. Tegeta tulifika saa Saba usiku.

Yan kulikuwa na bonge la foleni, Line zote mbili hazitembei.
Wenzio wenye akili wakitokea Tegeta huwa wanapita Bagamoyo, Msata, Nsoga, Ubena Moro.
 
Mkuu safari tulianza baada ya kutoka Kazini, nilimpitia Wife Mitaa ya Ubungo Kazini kwake. Hatukujua kama Moro Road itakuwa na foleni. Na ukiwa Ubungo ni ngumu kuwaza kuzunguka Bagamoyo.
Usihofu Kaka. Kuanzia mwakani inshallah tutakua tunakwenda Moro kwa masaa matatu kutumia reli ya viwango SGR.
 
Kuna siku nilitoka hapo Mbezi saa Tisa Alasiri, nilikuwa na familia tunawahi kwenye harusi Morogoro. Tulikuwa na Private Car. Mpaka saa tatu usiku ndo tulifika Picha ya Ndege, karibia na kwa Martias, Tukageuza Gari tukarudi nyumbani Tegeta. Tulishindwa kuendelea na Safari. Tegeta tulifika saa Saba usiku.

Yan kulikuwa na bonge la foleni, Line zote mbili hazitembei.
Dah!
 
Ukiwa unaenda Moro kwa gari private kutoka Dar. Bora UZUNGUKE BAGAMOYO.
 
Kuna siku nilitoka hapo Mbezi saa Tisa Alasiri, nilikuwa na familia tunawahi kwenye harusi Morogoro. Tulikuwa na Private Car. Mpaka saa tatu usiku ndo tulifika Picha ya Ndege, karibia na kwa Martias, Tukageuza Gari tukarudi nyumbani Tegeta. Tulishindwa kuendelea na Safari. Tegeta tulifika saa Saba usiku.

Yan kulikuwa na bonge la foleni, Line zote mbili hazitembei.
Tegeta uwe unazungukia Bagamoyo
 
Kwa muda huh Kama bado upo kwenye foleni bora ulaji pembeni upumzike maana huwenda ikafunguka mida mibovu

Tanroad sijui Wana shida gani na ubunifu, picha ya ndege kwa mathias na kongowe hakuhitaji barabara za zege bali under pass ambayo naamini ni cheap kuliko hilo zege wanalomwaga barabarani, foleni haitokaa iishe Miaka mia
 
Hv lengo hasa la kuweka zege ni nini mkuu maana huyu mchina anakaribia mwaka hamalizi.
 
Yale maeneo lami ilikuwa imebonyea kutokana na mgandamizo, ikaweka kitu Kama matuta , so kuondoa hilo wameamua kuweka zege. ni kama vile mlima kitonga , mlima kolo kondoai na vipande fulani vya barabara ya ludewa , au ile barabara ya Maji chumvi kutoka kimara korogwe Hadi mabibo jeshini.
Barabara ya zege ni ya gharama kubwa , shida ni kuwa hao wataalamu Hawa angalii ni kwa nini lami inabonyea baadhi ya sehemu , magari makubwa yanapolazimika kukaa kwenye foleni kile kitendo cha kusimamia na kuondoka huwa kinafanywa uharibifu mkubwa sana kwa lami , sehemu zote wanazojenga zege sasa hivi ni sehu zenye junction ambazo huleta foleni,

Under pass ilikuwa ndio suluhusho la kudumu na sio zege .maana hata pale mbezi mwisho lami itabonyea tena.
 
Back
Top Bottom