Recent content by Black Pundit

  1. Black Pundit

    JamiiForums Tanzania Hapo mtaani kwako wangapi mnatumia JF?

    Since nipo Chuo mpaka sahivi nipo mtaani Zaidi ya miaka mitatu sijawahi Kuona ama kusikia anyetumia JF..... Ni wazi ukiachana na JF kuwa platform ya watu Makini but pia ni sehemu ya watu walitembea age kidogo
  2. Black Pundit

    JamiiForums Tanzania Nilivyogundua tu Mwanamke ana gari, nikaona huyu siyo Level zangu

    Bado una safari bdefu Sana kwa mtazamo huo ...... Poor mindset
  3. Black Pundit

    JamiiForums Tanzania Wito kwa wana diaspora wote wapenda haki

    Ukiwa na akili timamu huwezi kumlaumu Rais Samia ...... Yeye Sio tatizo isipokuwa ni matokeo tu .... Zima hisia washa akili .... Hakuna external force inaweza kukusaidia kusolve yako ya ndani ..... Acheni ujinga watanzania... Period
  4. Black Pundit

    JamiiForums Tanzania Let's be careful with people we mix our soul with

    Thibitisha reality yake mkuu?
  5. Black Pundit

    JamiiForums Tanzania Let's be careful with people we mix our soul with

    Hakuna kitu kinaitwa roho wala Nyota..... Mambo ya spiritual ni sehemu ya mwafrika kuzidi kuwa nyuma kifikra na nyanja zote ........ Tuache Mambo ya kusadikika na Zaidi tujikite kwenye KUELEWA
  6. Black Pundit

    JamiiForums Tanzania Shuka kutoka kwenye wingu la “upendo na mwanga”

    Sijaambulia kitu ........ Nimetoka kapa😂
  7. Black Pundit

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole atazungumza na umma leo Agosti 08, 2025 saa sita mchana

    Na Leo Tena ..... Kuwe na bomu la maana sasa
  8. Black Pundit

    JamiiForums Tanzania Mapito ya career woman

    Ok shukran mkuu But umejikita Sana kujenga hoja kumzunguka msomi yaan mwanachuo ......
  9. Black Pundit

    JamiiForums Tanzania Gusa achia twende kwao

    Mkuu siku hizi nimeanza kukuelewa kuhus hoja ya msingi kabisaaa... Usipuuwe
  10. Black Pundit

    JamiiForums Tanzania Watu Wenye Uzoefu Pekee Watakwambia Haya

    Shukrani Sana mkuu
  11. Black Pundit

    JamiiForums Tanzania Watu Wenye Uzoefu Pekee Watakwambia Haya

    Mkuu shukrani Sana ... Sorry naweza kuniambia source ya kupata haya Maarifa?
  12. Black Pundit

    JamiiForums Tanzania Black Magic: Siri ya kwanini Watu hupelekwa Makaburini na Waganga

    Ni somo complex na muhimu Shukrani Sana mkuu kwa kutuunganishia doti
  13. Black Pundit

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Simba yacharuka, yazitaka saini za Pacome, Aucho Msimbazi!

    Hujui chochote... Naona unaropoka tu... Ni Bora kukaa kimya kuliko kuongea Mambo ya kufikiria tu.
  14. Black Pundit

    JamiiForums Tanzania Nina kibamia, kinanitesa mpaka sitamani kuishi

    Change mindset Hivyo tu
Back
Top Bottom