Nilipata 1 mil nikiwa likizo ya form 4 kwa kuuza dawa za kupungua uzito... At 25 to 26 nikapata mil 560. Aisee muhimu sana kuwa makini na pesa vijana, pesa haikosagi matumizi
Hehe jibu hoja kwa hoja... Update ni kuwa nina gari sasa. Positives ni freedom na pride imeongezeka kidogo. Negative nilizotaja nilipoandika hili zote zipo thou kwa nature ya biashara zangu za sasa sina jinsi positives outweigh negatives.
Haya wakuu wacha niwasaidie hili. Please note siuzi chochote hapa na nasikitika sijibu dm zozote za msaada au maombi. Kama ni maswali nitayajibu yote hapa kadri ninavyoweza.
Niko katika miaka ya 25-30 na net-worth yangu ni around 450 mil ongeza na punguza kwa sababu vingine sio liquid assets...
Kama fellow dropout, hakikisha hiyo biashara tayari inakuingizia kipato cha kutosha matumizi yako ya kila mwezi (angalau mara 1 na nusu ili uwe na savings). Iwe hivi kwa angalau miezi 3 iliyopita kuonesha ni kitu stable. Pia uwe na pesa pembeni ya kutosha at least mwaka wa matumizi usipopata...
Hamna kitu bora kumpa mtoto wako kama exposure. Nashukuru sana Mungu wazazi wangu waliona hili na kunipeleka shule bora kabisa Tanzania. Namna ya kufikiri ni tofauti na hata ile uwezo wa kujifunza ni tofauti say ukilinganisha Mazinde Juu na shule ya serikali ya kata Mtwara.
Iwapo una uwezo wa...
Hiyo sekta imekaa kisiasa sana. Mikono mingi itakuja kuomba chochote kitu. Instead watatu katika uliotaja wamewekeza katika import/export processing areas na oil depots. Wanamake billions kwa mauzo yearly bila usumbufu mkubwa na publicity.
Tafuta kitu kinachokuvutia na anza kujifunza kitu hiko. Mfano kama ni upigaji picha, anza kujifunza hilo kwa undani... Kama kuna kitu ambacho tayari unajuajua, wekeza katika kutoa huduma ya kitu hiko. Kama wewe ni mzuri kwa Hesabu basi anza kutangaza kuwa unafundisha hesabu ya level flani...
Moja kwa moja sitaweza unfortunately. Ila aina doesn't matter sana.
Principle yangu nayotumia ni aidha kitu nina interest nacho ama kitu ninaweza kuvumilia kupitia the learning process.
Hivyo unaweza kuapply hili katika biashara yoyote utayoamua kuifanya. Kwanini? Vitu hivi viwili vitaongeza...
🤣 ukaona uchague violence ndugu. I have nothing to sell humu kama nilivyomention. Chagua kuamini unachotaka kuamini all I wish is to inspire some of you.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.