Recent content by BLACK MARXIST

  1. BLACK MARXIST

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Nchi inaendelea kuwa ya kijinga kadili siku zinavyokwenda. Sijui kizazi gani kitakuja kuwa na akili huko mbele na kuiokoa mama Tanzania.
  2. BLACK MARXIST

    JamiiForums Tanzania Mbinu 5 Za Kisaikolojia Zilizokatazwa – Lakini Zinafanya Kazi Kama Uchawi

    Habari mkuu, nitajie vitabu vizuri vinavyohusu haya mambo. Ikiwezekana nitajie vitabu vyako bora vitatu kama hutojali. Asante.
  3. BLACK MARXIST

    JamiiForums Tanzania UTT AMIS vs DSE – Ni ipi bora kwa uwekezaji? Nisaidiane kufahamu

    Nje ya mada mkuu, unaweza kuni recommend nisome vitabu gani ili nipate uelewa zaidi juu ya uwekezaji hass katika masoko ya Hisa kama DSE. Kutokana na Jibu lako nahisi unaweza kuwa na uelewa wa haya mambo. Asante.
  4. BLACK MARXIST

    JamiiForums Tanzania Mzee Makamba Pole sana

    Well said, umefikiri kama ninavyofikiri, nadhani Makamba watampa position kwenye chao CCM. Huwa hawatupani moja kwa moja hawa watu.
  5. BLACK MARXIST

    JamiiForums Tanzania Katarama mnawahi wapi?

    Unakuta Boss Amran(Ally's) mweyewe hana hata habari ila wapambe sasa? Kuna kitu kinaitwa Unazi ni yale yale ya Usimba na Yanga, nchi ya ovyo sana hii.
  6. BLACK MARXIST

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya Polisi: FFU waonesha namna ya kukabiliana na maandamano

    Hii nchi aisee! Kwa hiyo CDM wanapigwa bit sio?
  7. BLACK MARXIST

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    0356
  8. BLACK MARXIST

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    0353
  9. BLACK MARXIST

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    0157
  10. BLACK MARXIST

    JamiiForums Tanzania Wangapi tunahitaji kufahamu ukweli juu ya huyu binti?

    GREAT MINDS discuss ideas AVERAGE MINDS discuss events AND SMALL MINDS discuss people the last group will never move from where they are will remain stagnant and if they move it will be backward.
  11. BLACK MARXIST

    JamiiForums Tanzania Dudu Baya amshusha kwenye gari na kisha kumkaba Saimon Mkondya (Mr Manguruwe)

    Hana option, kalipwa.
  12. BLACK MARXIST

    JamiiForums Tanzania Kwanini picha ya Muhammad (Mtume wa Waislamu) imefichwa na haijulikani mpaka leo?

    Ki uhalisia hakuna picha wala hao watu.
Back
Top Bottom