Recent content by black hawk87

  1. black hawk87

    JamiiForums Tanzania 2018 mpaka 2022 Maisha ya kibishi nchini Afrika Kusini(Capetown) sasa narejea nyumbani. Ushauri tafadhali

    Yote kwa yote bongo bado kugumu uwe mwajiriwa au kujiajiri nakushauri pambana sana hakikisha ukirudi huku uwe umejitolesha hao wanao kwambia 10m itakutosha nao wanazo na bado wanapigika haswa. Bongo ni nchi ya ahadi ndugu yangu.usiogope kufa pambana sana hata huku kuna vibaka wengi tu umepata...
  2. black hawk87

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

    Ngoja tusubiri kipindi Cha mvua kwanza
  3. black hawk87

    JamiiForums Tanzania Part II: Bado safari yangu ya kusaka utajiri wa nguvu za giza inaendelea

    Utajir wa kafara Ni nyota na bahati si Kila anae taka utajir huo hupata wengne huishia kuhangaika na kupigwa pesa na wataalamu wa tiba hizo. Na hakuna Alie tajirika kwa Nguvu za giza bila maagano na maagano Ni mazito Sana NB: Kuna kafara kuu mbili ,,kafara ya damu ya binadamu ,,,,, na kafara...
  4. black hawk87

    JamiiForums Tanzania Kijana mpambanaji nipo kwa ajili ya kazi mbalimbali

    News Kama hii ya mtu anae amua kujitoa katika maisha inabd iwe na kabendera ina pepea kwa ajil ya connection nying
  5. black hawk87

    JamiiForums Tanzania Kazi za usalama (TISS) mpaka utoe hela?

    Acha kuchafua taasis pendwa
  6. black hawk87

    JamiiForums Tanzania Je, kilichotokea Malawi kinajirudia Zambia ambapo Rais anatimuliwa?

    Huku tuna maisha yetu tushazoea hatuna muda najua mnapenda zitokeee lakini kwa uwezo wa Allah hakutotokea chafuko lolote
  7. black hawk87

    JamiiForums Tanzania Utetetezi wa Sabaya, haupo kisheria, na pia unavunja kanuni za Kijasusi

    Sabaya kafeli hafai yaaan huwa watu wanakufa kiume na tai shingoni huku ukijua walio kutuma wapo na wanajua
  8. black hawk87

    JamiiForums Tanzania Amapiano ni Ushamba wa wasanii wetu au fasheni?

    Mziki wa kweli Ni mnanda na mdundiko TU
  9. black hawk87

    JamiiForums Tanzania Imagine huyu ni Polisi na huyu ni Raia

    Hakuwa na akili mwenye akili hawez sema huyo mtu kakanyagwa shingoni
  10. black hawk87

    JamiiForums Tanzania Imagine huyu ni Polisi na huyu ni Raia

    Nikiangalia hzo picha zinazosema mtu kakanyagwa shingo na mguu wa mtu mwenye kilo Zaid ya 80 na jicho la mtu Alie kanyagwa liko limetulia tu hapo ndipo nafikiria upeo wa watu hao ulivyo mdogo
  11. black hawk87

    JamiiForums Tanzania Imagine huyu ni Polisi na huyu ni Raia

    Sema hukuwa na vigezo
  12. black hawk87

    JamiiForums Tanzania Polisi wa Tanzania chini ya uongozi wa Samia Suluhu Hassan

    Kumbuka unapokwenda kuandamana pasina kufuata sheria wale walio waagiza wako mstar wa mbele ??? Msilaumu mamlaka ziliko Bali jilaumu wew na akili yako. Mnashindwa simamia akili zenu mnashikiwa alafu mkibutuliwa mnalialia tu
  13. black hawk87

    JamiiForums Tanzania TANZIA Aliyekuwa Mtangazaji wa RFA, Juma Ahmed Baragaza afariki Dunia

    Daaaaah usizania huko mzee[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
  14. black hawk87

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu kanitoroka kisa kubadili Dini

    Amekuacha sababu huna msimamo katika maamuz yako
Back
Top Bottom