Recent content by black David

  1. B

    JamiiForums Tanzania Mama zenu ndo wanaowatuma

    nadhani ikitolewa taarifa watu kutembea bila nguo akina haki sawa watakuwa wa kwanza kulifurahia kwani kwa sasa ni kama wamenyang'anywa HAKI YAO NDIO MAANA WAKIBANWA HULALAMA KUNYIMWA UHURU
  2. B

    JamiiForums Tanzania Ze Comedy ya TBC1 ndo kwaheri

    wengine humu wana karama za majungu tu
  3. B

    JamiiForums Tanzania Makonda aenda likizo Afrika Kusini kwa zaidi ya miezi miwili

    kafanya kazi nzito ya kutikisa miembe muda mzuri vijana waokote baadae unaingilia kiwanda cha kusindika matunda; mtaumia miaka hii mitano ya mwanzo mtajuta kumjua JPM
  4. B

    JamiiForums Tanzania Hivi ni mimi tu au kuna wanawake wengine mmeshawahi kupitia?

    ukweli unao ww mwenyewe lkn pia ni zaid katika fikra zake na ajali wala sio kingine na linaweza kusumbua zaid
  5. B

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Tanganyika Law Society(TLS) wapingwa mahakamani

    Hiyo misukule ndio mingine inashikwa miguu kutembea kwenye ngazi za uwanja wa taifa
  6. B

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akamatwa akiwa Mahakamani Kisutu, Aandika ujumbe mzito kwa Watanzania

    UJUMBE MZITO NDO HUU !!!!
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Lawrence Masha baada ya kukamatwa kwa Tundu Lissu

    ww unako kunanga ndio ulikokuwa hivo tulia tu hivo hivo waongee wengine
  8. B

    JamiiForums Tanzania Waraka wangu kwa viongozi wa dini kuhusu ulevi wa Mzee wa Upako!

    Pamoja yoote uyajuayo na yaliyomo bado humjui vilivyo huyu mch. mengi uliyosema unamsukumo fulani juu yake.Ongea ukweli usipambe ili uwe ukweli
  9. B

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Yanayojiri ndani ya Chama Cha Mapinduzi(CCM)

    Wana ngada wanapenda hata afe kavuruga sana biashara yao
  10. B

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu kwa UKAWA na upinzani, Lowassa hawezi kutuvusha

    Tatizo ni viongozi mnaowashobokea ndio wapiga hela ni ninyi ni bidhaa zao.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Lukuvi na Nape Wamethubutu

    posti hizi zingine yaani zinachefua sn lkn ndo hivo kutifautiana, mtu analesseni ya kuendesha bar na watu kujiuza kweli! hiyo akili au matope, kwavile analeseni basi biashara ya kujiuza ruksa, akitokea mtu kuchukua hatua huita mpenda sifa; hizi ni siasa za kijinga na ni upuuzi.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Bi. Salma Kikwete kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    kuona kwa urefu wa pua ndio kunatuponza, mshindani wako anawaza miaka mia ijayo ww unahoji anachofanya leo, utabakia manager maisha yako yote huku mwenye mali ukifuata maagizo yake.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Baada ya Dr.Kigwangala, Mwigulu, sasa ni zamu ya Makonda kuhusu jina, hii inaweza kuwa kweli au?

    Never waste your time on these just pray for your hero Hon. Makonda
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kuhamia Dodoma: JWTZ nao wafungasha virago toka Dar!

    ALIAHID ANATEKELEZA NA NAMNA ANAVYOTEKELEZA NI JUU YAKE WAKATI UKIFIKA TUTAMUULIZA
  15. B

    JamiiForums Tanzania Zlatan Ibrahimovic is overrated

    waingereza hawapendi kusifia mchezaji wa kigeni wakimsifia basi kawatenda.Adakadabla ni mtendaji cazola ni mzuri lkn sio type yake au la utake umpandishe tu nae asikike
Back
Top Bottom