Recent content by Black Bolt

  1. Black Bolt

    Nataka kumuoa huyu binti ila tabia zake zinatetemesha sana

    Mtoa mada ukisema anakupenda na hakutafuti mpaka umtafute yeye unakuwa unamaanisha nini hasa, tuambie nikitu gani kinakuonesha anakupenda ikiwa hakutafuti ??? Nafikiri Kuna haja ya kuanzishwa mitaala ya kufundisha mahusiano shuleni. Nikupe maana ndogo ya MAPENZI, mapenzi ni hisia yaani mtu...
  2. Black Bolt

    Natafuta kazi, nina familia inanitegemea

    Nashida ya kazi, nilipokua nafanya kazi Kampuni imefungwa. Jamani hata iwe ya maslahi madogo ile iwe ya uhakika tu, hata kazi ya usaidizi ofisini, hata dukani. Hata kazi ya kusimamia choo cha sokoni. Napatikana Dar es Salaam.
  3. Black Bolt

    Sina mpango wa kuoa ila natafuta house girl. Je, inawezekana?

    Kutamani sio sula suka ni feature ya kutamani mtu uwenae kimahusiano hapa tunazunguzia ngono tamaa ya ngono haingalii sura hata Kama mwanamke ana uso Kama Bambo akivaa kanga moko akalala tako likatingishika tamaa inakuja, pia tamaa muda mwingine wanaume inakuja mwilini yenyewe bila ya uwepo wa...
  4. Black Bolt

    Punda wa Tanzania hawana mtetezi?

    Zamani watu walikuwa wanauwa Sana mbwa hasa koko shule ya msingi Kuna alikuwa anamfuga hamlishi kakondaaa mifupa akamtelekeza alioigwa matofari Kama mwizi hadi kufa
  5. Black Bolt

    Tutafute hela : Tuheshimike

    Kuna tofauti kati ya aliye na pesa na aktamka maneno haya na asiyekuwa na pesa mzee ukisema "pisi hazina shida kabisa na pesa yako" inamaana pesa ni unayo hapo na huyo manzi just in case akawa na shida na kihasi Cha pesa unaweza mpa na mpaka kufikia Happ pia unaweza kuwa ushawai kumpa pesa ila...
  6. Black Bolt

    Mwanaume wa kibongo njoo hapa mtueleze kwanini unamtongoza mwanamke saa moja mbele eti unataka tunda

    Kwanini ulim-block Kwani ndio mwisho wa kugonga hutahitaji tena kugonga au kila ukihitaji kugonga unatafuta demu wa kutongoza hizi Aina nyengine za sijui za ujanja au Nini munaziweza wenyewe tu
  7. Black Bolt

    Natafuta kazi yoyote:

    Mkuu nipe Mimi hio kazi nipo dar Sina kazi yeyote kwasasa nakuja DM
  8. Black Bolt

    Ushoga unaweza ukawa ugonjwa

    Kuwa na msimamo
  9. Black Bolt

    Ushoga unaweza ukawa ugonjwa

    Acha illusion illusion
  10. Black Bolt

    Ushoga unaweza ukawa ugonjwa

    Sawa njoo mtaani uniinamishe
  11. Black Bolt

    Wanawake hawajisumbui kuyapa uhai mahusiano yanayoenda kuwa ndoa wakiwa 20-25 wakifika 27 kwenda juu wanalalama hawaolewi

    Ndoa Ina gharama yake kabla ya kuwa ndoa wanawake wengi hawalipi hio gharama at first baadae wanapostuka wanataka kufanya janjajanja wanaishia kupigwa tu na wengine kuishia kuwa single mother Mahusiano yanapoanza yanakuwa motomoto katika kipindi Cha miezi mitatu ya mwanzoni kila mtu anakuwa...
  12. Black Bolt

    Naomba wanaume tuje tubuni mbinu mpya za kuomba namba za simu.

    Mimi mwanamke kunipa na kuwa na Mimi apambane kwelikweli wanawake wananiomba Mimi namba wananitongoza wao na sitoi namba kijinga wengine wanalia
  13. Black Bolt

    Ushoga unaweza ukawa ugonjwa

    Usimfikilie vibaya Happ mwenye makosa wewe kuingia kwenye private ya mtu kuna vitu vingi kwenye INBOX ambavyo akiangalia asiyehusika atafikiri vibaya ila sio ule usiri unatufanya tuwe huru kuandika chochote
Back
Top Bottom