1.5 M ni pesa ndogo kwa watu mnao feki maisha. Mtu makini hiyo pesa inamtoa kabisa kwenye shida
Gavoo hiyo unapata mkopo wa 35M kwa ajili ya business yenye kuingiza
50,000-70,000 kila siku.
Baada ya 7 years unaacha kazi kabisa
Net salary yangu haifiki 500k
Ila kwa wiki naingiza 800k...
BASATA si wanafanya kazi online siku hizi mkuu maofisini hakuna kazi unajisevia online acha walale
Infact ofisi nyingi za serikali sasa zinatumia mifumo hivyo watu wengi hawana kazi
Najua ni wewe mtoa mada ndio mwenye huu mkasa lakini fanya hivi 'Usijaribu kumrudia huyo binti' otherwise utalia na kusaga meno Mungu amekuonyesha njia ifuate
Daaah pole mkuu haya mambo bwana yamekaa zigzag kweli mimi nilipigwa chini LGA nimejikuta City centre kutokea database but all is well kikubwa kuanza kazi ramani zitajiseti.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.