HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wadau naombeni ushauri tangu nipate placement kila saa akili inawaza SUBARU XT 2009 najaribu kufuta mawazo hayatoki nimejaribu kunywa beer nisahau ila ndio inazidi kunijia karibu zaidi.
images%20-%202023-10-05T194023.719.jpg
 
Wadau naombeni ushauri tangu nipate placement kila saa akili inawaza SUBARU XT 2009 najaribu kufuta mawazo hayatoki nimejaribu kunywa beer nisahau ila ndio inazidi kunijia karibu zaidi.View attachment 2772942
[emoji23][emoji23][emoji23] Daaah umenichekesha sana ila kizazi cha sasa aisee ni matatizo SUBARU si itamaliza mpaka moja yako ya tatu.
 
Wadau naombeni ushauri tangu nipate placement kila saa akili inawaza SUBARU XT 2009 najaribu kufuta mawazo hayatoki nimejaribu kunywa beer nisahau ila ndio inazidi kunijia karibu zaidi.View attachment 2772942
🤣🤣🤣🤣🙌 endelea kuwaza kwanini ujisahaulishe kwa beer sasa!?akat ni mawazo mema😇
 
Back
Top Bottom