Jamani habari zenu?nianze na historia fupi,miezi 8 nyuma nilipata kuunga urafiki na binti m1 kwenye mtandao wa fb,maongezi yalikuwa yenye kusisimua pmj na matani ya hapa na pale,miezi 4 nyuma tukapeana cm nomber,tuliwasiliana sana kiasi cha kila m1 kuifahamu life possition ya mwenziwe,love...