Recent content by BL4

  1. BL4

    Mkungu wa ndizi Mzuzu unabei gani Mkoa Mbeya

    Na hitaji kujua Ndizi Mzuzu zinapatikana mkoa gani kwa wingi
  2. BL4

    Wanawake wenzangu, hapa Tanzania hakuna wanaume

    Pole kwa kuumizwa na mahusiano feki. Wengine wanafurahia sana kuwa kwenye mahusiano. Inawezekana kabisa jlikosea ulipoingia lakini usikosee kwa mara nyingine tena yupo wa kwako tu. Mungu kamuumbia kila mmoja wakufanana naye sasa shida inakuja pale ambapo unaishi na mtu usiye fanana naye hapo...
  3. BL4

    Spika Ndugai: Bunge limeazimia kutofanya kazi na Profesa Mussa Assad si ofisi ya CAG. Ripoti itasomwa endapo haijasainiwa na Prof. Assad

    Samahani naomba kuuliza. Hivi yale mahojiano yalikuwa yanamuhusu Assad Au CAG kwa maana ya Office ya CAG? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. BL4

    Naomba msaada wa jina la biashara hii

    Nahitaji kufungua mgahawa, ambao utatoa huduma zifuatazo: 1. Juice fresh ya matunda, na ya miwa 2. Chipsi, na ndizi za kuchoma. 3. Mishaki na nyama ya kuchoma. 4. Supu ya samaki, mbuzi,maharagwe, ng'ombe ,kuku. 5. Chakula kama Ugali, Ndizi, Wali, NK. 6. Chai, na vitafunwa vyake. Sent using...
  5. BL4

    unahitaji wazo la biashara ? soma hapa.

    Wananchi nemefurahishwa sana na hili group. ila kwasasa naomba mnisaidie wazo la biashara ambalo litakidhi vigezo vifuatavyo. 1. Kutunza mazingira. 2. Kutoa ajira kwa wanawake. 3. Kuingiza kipato. Nimeumiza sana kichwa nimekosa kabisa nisaidieni wakuu.
  6. BL4

    Nahitaji mke wa kuoa

    hamjambo wakuu long time sana sijaingia humu
  7. BL4

    Madhara ya kuingiza mfumo wa haki sawa kijinsia (50 by 50) umeligharimu Taifa

    Sijui nani aliwaambia wanawake hawana haki Wazazi wetu waliishi vizuri bila kuigombania haki lakini ndoa zilikuwa hazivunjiki wanawake walikuwa watiifu na wanaume waliwapenda wake zao, leo utashangaa wanadai haki lakini ndoa zinavunjika wadadazetu hawaolewi kwakuwa aliaminishwa kuwa wewe...
  8. BL4

    Uzalishaji wa mende kwa matumizi ya binadamu na mifugo pamoja na masoko yake

    Vipi hivi mende wanaweza changanywa kwenye chakula cha samaki?
  9. BL4

    Hivi ni urefu gani ndo mtu anakua considered kama ana kibamia?

    Ila kama nimkeo cku akipmata mwenye muhogo wa jang'ombe Kila siku uta sikia na umwa nimechoka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  10. BL4

    Hivi ni urefu gani ndo mtu anakua considered kama ana kibamia?

    Hata wakituogopa haina noma sana kuliko kukosea kuvaa kiatu hautakuwa na uhuru ukutembea
  11. BL4

    Hivi ni urefu gani ndo mtu anakua considered kama ana kibamia?

    Kuna wataalamu kweli wa kuchunguza Hebu nipeni hayo mautundu na mimi
  12. BL4

    Hatua ya kwanza ya mafanikio ni kuondoka nyumbani

    Wakati kuna lijamaa langu hapa naliona limekaa kwa kaka yake lina midevu kqma osama lina miaka 37 halitaki hata kupanga chumba Yani linanikera sana
  13. BL4

    Part II: Mapya ya Mjane aliyejitoa mhanga kwa Mh rais

    Ni gharama kubwa ni chai na maandashi Biashara kwishnehi Hapo hakuna kesi baaaaanaaaaa
  14. BL4

    Part II: Mapya ya Mjane aliyejitoa mhanga kwa Mh rais

    Yani makonda hajaiona fursa kwa huyo mama[emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]. Udaga kabisa Dar mpya hiyooooooo
  15. BL4

    Part II: Mapya ya Mjane aliyejitoa mhanga kwa Mh rais

    Mimi nadhani hii haina haja ya kuumiza kichwa sana, hivi hakuna viongozi wenye hekima kama za Sulemani katika hili jambo Mbona jambo dogo sana
Back
Top Bottom