Unahitaji mke wa kuoa...mke maana yake ni mwanamke aliyeolewa.Cjakuelewa una maana gani, chikundi
Unahitaji mke wa kuoa...mke maana yake ni mwanamke aliyeolewa.Cjakuelewa una maana gani, chikundi
Utaibiwa wewe angalia namna nyingine ya kutafuta mke?SIFA -----Awe mkristo ikiwezekana awe msabato .
Awe ana kazi
Asiwe alie jichubua .
Asiwe mlevi.
Awe mkarimu .
Anipende.
Awe na umri usiozidi miaka 28 naasipungue 25.
Awe mnene kiasi.
0658051775
Usilete utani
Utaibiwa wewe angalia namna nyingine ya kutafuta mke?
Kumbe hawa wanaokuja huku ni nehi nehi!!!!

nehi nehi dah Ndugu yangu mbavu zangu I miss home sure 

Ubaguzi na sisi tusio na chura jeeAkiwa msomi ni sawa
Awe na chura ila lisiwe kubwa sana