Mbowe kaongea kisiasa...lazima ajipe matumaini ya kushinda, polisi kaongea kama nani??...anampa nani matumaini ya kushinda au yeye ni mgombea pia? Alipaswa asmjibu mbowe kisiasa, hapo kaharibu na ukizingatia cheo chake kajibu kwa pupa!
Lakini kama taarifa husika zinaingizwa kwenye system wakati ule unapochukuliwa picha na alama za vidole, kwa nini namba ichukue muda mrefu hivyo kupatikana?? Hizo namba ni machine generated au ni mtu anafanya ku-assign kwa manual system??
Mimi ni mmoja wa watu wanapenda sana demokrasia ya kweli...uhuru wa kutoa maoni, kutenda haki bila dhuluma, kuheshimu kila mtu bila kujali itikadi, dini, kabola au utaifa wake. Na siyo mwanachama wa chama chochote cha siasa, ila n Mtanzania mzalendo sana siyo wa kinafki. Tataizo langu n huu...
Mtoa mada hawapendi wazungu...da! Kosoma, kuandika vyote kakufundisha mzungu, hata hicho kifaa unachotumia kumlaani kakibuni na kukitengeneza mzungu...mzungu ni mtu kama wewe, tatizo wewe hupendi watu waliopiga hatua kubwa za maendeleo au wenye fikra kubwa kuliko zako. Wenzetu wanaheshimu vyombo...
Kama ni miradi yenye maslahi kwa umma itaendelezwa tu na yeyote awaye Rais. Hakuna haja ya kupigiana debe ili katiba ibadilishwe kwenye ukomo wa urais. Kuna mambo ya msingi sana kwenye rasimu ya jaji warioba yalibainishwa ambayo ingetekelezwa ndiyo ingekuwa mwarobaini wa hiyo hofu yako...
Inawezekana miundo ya kiuongozi inachangia sana kwenye ucheleweshaji wa kufikia maamuzi...inatengeneza 'bureaucracy' ndo maana mambo hayaendi kwa wakati...DC, DED, CEO, MANAGER, MHANDISI nk...Hapa mpaka wote wakubaliane ndo jambo 1 lifanyike ni lini hiyo!?
Sheria zinazotumika kwenye mikataba ya ajira na mafao haziendani. Mfano kwenye mikataba ya ajira kuna vifungu vinamruhusu mwajiriwa kuacha kazi kwa hiari, lakini kwenye mifuko ya jamii huruhusiwi kuchukuaa mafao yako ukiacha kazi kwa hiari hadi ufikishe umri wa kustaafu! Hapa maana yake ni...
Mfumo huu ni mzuri sana kwa vile unaruhusu wamiliki kukagua na kujua kama magari yao yanadaiwa kwa makosa ya barabarani. Pamoja na uzuri wake, unaweza kuwa na shida pia. Hapa mimi nimeona shida yake moja ni pale sehemu ya kujaza nama ya leseni ya dereva ambapo mfumo unakubali tarakimu ambazo...
Kama kuna kiongozi au 'planner' aliyekosea ni huyu aloyeanziasha sare za vyama. Hili la kila chama cha siasa kuwa na sare zake ni tatizo kubwa sana kwa umoja wetu wa kitaifa. TUONDOE HIZI SARE NA VIBENDERA BENDERA VYA CHAMA TUBAKIE NA BENDERA YA TAIFA TU. Watu tujitambulishe kwa sera na hoja za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.