Recent content by bizoocomplex

  1. B

    Kifo cha sharo milionea

    du kwel nimeamin kujua kusoma na kuandika na kutumia computer si kigezo cha mtu kutokuwa wendawazimu, ishu mzito kama hii kwel unaweza kutania kama sio ulimbuken wa kupata nafas na muda nini
  2. B

    bili kiboko

    jamaa wa dawasco alikwenda kwa b mkora kudai bili ya maji mambo yakawa kama ifuatavyo: MTOTO: mama kuna baba yupo hapo nje ameleta bili ya maji BI MKORA: mwambie kama hiyo bili ni maji ya mvua anisubiri nakuja kwa sababu jana ilinyesha LAKINIIIIIII kama ni ya maji ya dawasco muulize kama amevaa...
  3. B

    Gazeti la MwanaHalisi lafungiwa kwa muda usiojulikana!

    problem that is a business, so huku who wil goin to pay him? sababu kaz anayofanya sio ndogo na si kaz ya bure na sidhan kama anavyotuhabarisha anaangaliaga tu upande mmoja if yes ur welcom if no tusubiri tu litaruhusiwa, time is a cure for everything
  4. B

    Former IGP Harun G. Mahundi IS NO MORE

    Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi na pole ziiwaendee wanafamilia na watanzania wote .
  5. B

    Mswati is the most happiest man on planet

    sijui unamaanisha furaha ya nini? bt i do hope ya hao mabintizzzzzzz HIYO SI FURAHA MAN, NI UBATILI MTUPU, COZ HATA MFALME SUILEMAN YY ALITEST EVERYTING BT MWISHO WA SIKU ALIKIR MVINYO,WANAWAKE,MALI HAVIKUWEZA KUMLETEA FURAHA HATA KIDOGO.
  6. B

    Huu ni baadhi tu ya ufisadi mkubwa ndani ya CHADEMA; ni kuhusu mamilioni ya Sabodo

    iv tuseme ni kwel everythin aliichosema its true, ukijumlisha inaweza ikafika how much, i do hope around 700m na mazagazaga yote hadi na vinywaj chakula vocha etc sasa ww ukitajiwa fisad mmoja tena tena kama ni top 100 ni wa 100 hela ambazo amekula sidhan kama utarud tena huku, umeshauliza biz...
  7. B

    Mambo ya kikuku kinaashiria nini??

    hapo ndio umekosea kabsaaaaaaa bora usingechangia ki2, kwanza kama ni utamaduni mbona ni jamii flan iv, hiyo kwa ufupi ni TIGO RUSHAAAAA haina utamaduni ushamba tu
  8. B

    She is not a child anymore, isn't she?

    kwani kubalehe ndio kunamaanisha muda wa kufanya mapenzi umefika?
  9. B

    Huyu shekh hana haya? mwezi wote huu!!

    kwani shida iko wapi unafikiri hapo yupo zanzibar nini
Back
Top Bottom