Mswati is the most happiest man on planet

sijui unamaanisha furaha ya nini? bt i do hope ya hao mabintizzzzzzz
HIYO SI FURAHA MAN, NI UBATILI MTUPU, COZ HATA MFALME SUILEMAN YY ALITEST EVERYTING BT MWISHO WA SIKU ALIKIR MVINYO,WANAWAKE,MALI HAVIKUWEZA KUMLETEA FURAHA HATA KIDOGO.
 
Ni mahangaiko tu katika Dunia hii,huenda wengine wanaolewa,tu kwakuwa Mfalme kamchagu. Kuna wengi hana ridhaa ukweli furaha sidhani kama anayo.
 
Wandugu, inawezekana kuwa mfalme Mswati III ndiye mwanaume mwenye furaha kuliko mwaume mwingine yeyote katika sayari hii. hii inatokana na kuwa sorrounded by beautiful ladies ambao hawamjui mwanaume yeyote except him.....

maisha ya swaziland ni matamu sana hasa ukiwa gentleman(you know what i mean....) kwani kwa wale wapenda sketi ni sehemu nzuri ya kuishi. wadada wa kiswazi ni warembo haswa by natural na kichwani wako intelligent also, nafikiri ni kutokana na exposure waliyonayo ukilinganisha na exposure waliyonayo wadada zetu.

nimebahatika kuwepo huko kwa masuala ya kikazi, hivi recently but nightmare za huko hazijaniisha kichwani.

mwenye experience zaidi ya huko atujuze wana jamvi

Kuna watu wanabahati kwenye sayari hii, ukipinduliwa hapo lazima uugue ugonjwa wa moyo! kwa hapa Tanzania ingekuwa shida kuwapata hao warembo maana sioni kiviiile!!
 
The leftmost chick anamuangalia mwenzie anaye- wave and goes: "Huyu nae kwa kujishaua!!"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom