Habari zenu jamvini!!
Shamba linalokadiriwa kuwa na heka 20 lipo maeneo ya Kimanzichana wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani.
Shamba limepandwa nanasi na mipapai, lakini pia lina michungwa. Kumejengwa nyumba nzuri ya bati ya vyumba viwili, banda kubwa la kufugia kuku wa kienyeji, banda dogo la mbwa...