Recent content by biwak mbagwa

  1. B

    JamiiForums Tanzania 'Waliotumbuliwa' wajipanga,wapania kuitikisa nchi

    Bado una majitu sijui yakoje hv bado kuna waswas ktk hili,Ongeza kas Pombe maana Majiz yamezid kuliko unavyofikili.Hoja hapa tunaomba mahakama fanyan kwel ktk Mafisadi hawa wasipewe tena nafas mara wafagie hospital,wafyeke (nn peleka mahakan wafungen hao ilifedha yao ya uwiz wasipate itumia...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

    Mhemiwa Rais fanya uwezavyo tupate katiba mpya,right aliokuwa anafanya hayati Molinge yangekuwa katika format leo ungefanya kuyaendeleza tuu,Mungu ibariki Tanzania.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Nini maoni yako: Serikali Kuipiga mifuko ya Plastiki Marufuku

    Jiongeze Makamba usafi ni Tatizo sana nchi hii kwa watanzania wengi,kuwe na elimu kali na baadae sheria zifuatwe na kutumika
  4. B

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa John Pombe Magufuli, Rais wa awamu ya tano Tanzania

    Nashukuru JPM kwa kaz,nchi hii ni ngumu is like uwiz upo kwenye katiba ya nchi,rai yangu mhemiwa Pombe na katiba ya warioba ili hayo unayoyatenda yawe kwenye format.Ahsante Pombe
  5. B

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli Awe Mungwana, Awaombe Radhi Watanzania Kwa Haya Mambo Mawili

    Umenena kiongoz wangu,watanzania sijui akili zet7 zikoje,mtu anafanya vzr bado tunakosoa.Tunataka nn bas
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kiuchumi, wafanyabiashara wapo sahihi kuficha sukari

    Tafadhar waendelee kukamatwa wote wanaoficha sukar hili siyo shamba la bibi,kama kuna shida warudi mezani kwann wanataka faida zaidi kwa mda mfupi(utaratibu wa kishetan huo)
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kiuchumi, wafanyabiashara wapo sahihi kuficha sukari

    Mbona tunakuwa wepes kukubaliana na ujinga unaofanywa na wachache,shida hapo ni kwamba sisi watanzani tunapenda kufanya kaz bila maelekezo.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Waziri mpya wa Elimu

    Jaman Ndalichako,Good
  9. B

    JamiiForums Tanzania Waziri mpya wa Elimu

    Hakuna,MLUGO labda kwa serikal ya Asha Rose Migiro kama angekuwa
  10. B

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli acha kumdhalilisha Kikwete

    Kama huna mawzo kaa kimya tuu usaidiwe,maana unaeleza hoja za mtoto wa chekechea.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kashfa Bandarini Dar: Rais Magufuli amsimamisha kazi Kamishna Mkuu wa TRA, Rished Bade

    Mlizoea uongoz wa kimbea,urafiki na unafiki.Hapa kaz tuu kaza but Ewe a.k.a.Sokoine hayat
  12. B

    JamiiForums Tanzania Hii ni kweli ya Magufuli au ni safisha UKAWA na visasi?

    Fanya kaz Maguful,achana na wachache wenye IQ ndogo ktk hayo unayoyafanya.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Msaada jaman kwa anayefaham VPN na matumizi yake kwenye cm!!

    Kitu ambacho basically ni kinajihusisha na usalama wa data zako pia matumizi ya kimtandao kisalama zaid kwako ww na siyo kwa mwingine
  14. B

    JamiiForums Tanzania Serikali kurejesha viwanda na mashamba yaliyokiuka mikataba ya ubinafsishaji

    Sina shida na Maguful hofu ni kukubal kuongozwa na mtu ,twafwa.
  15. B

    JamiiForums Tanzania Uoga wa Zitto Kabwe kwa Tulia Ackson

    Uko sawa zitto
Back
Top Bottom